Nuru imeniwakia

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kinge utaweza kweli mama?maana baby nae akikasirika kumbembeleza kwa lugha yake nayo ni K.wish you happiness..
 
Kuw makini nasikia wazungu hawana najisi.
 
Badili ID mkuu
 
Haaaaa haaaaa!
 
Utatuletea japo picha mkuu
 
hahaa
 
namaanisha una hasira sana na unapenda kumjibu mtu vibaya pale anapokukera,madam wanaume wa bongo hawataki haya mambo ndio maana nikasema ni vigumu kupata black man maana tunapenda kunyenyekewa.
usinichukulie vibaya sina chuki na wewe Mkuu
Kweliii unasema ukweli
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kinge utaweza kweli mama?maana baby nae akikasirika kumbembeleza kwa lugha yake nayo ni K.wish you happiness..
Ni anajua english napia kiswahili anakijua so sina shida alikaa huku sana kuoana ilikuwa kama utani tu.
 
Means ratiba imeshapangwa nani ataenda nani anabaki couze nauli ndio mtihani.
 
Kama kweli uyasemayo ni kweli; naamini aliyekuoa kapata chombo kweli.
Maana umeongea kwa husia na inaonesha ulimhitaji mume kutoka moyoni.

Usije ukajisahau sasa, uwe mke bora usiwe mwanamke bora.
Kama unaona kakutoa aibu yako, muheshimu kwa kiwango cha juu ili naye aamini kweli kapata mke.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…