Nuru imeniwakia

Na mzungu hadi kakutolea posa wewe ina maana kakupenda kama ulivyo sio ndio uanze kununua vipodozi ili ufanane nae utatimuliwa,
Ndio ilikuwa kama zali tu mtu nimepita zangu mahali nawao walikuwa kama group akataka apige picha kidogo akadondosha kitu hakikuwa cha dhamani ila nilihakikisha kapata ndio akafurahi akaniomba mawasiliano ndio hivyo nafurahia nyota imewaka nimefurahi sana.
 
Aliyekwambia wazungu wanaoa nani?? Hapo kanunua papuchi akiichoka unatupwa kule..
 
Kaka yako niko hapa. Ukifika Finland usinisahau kunitonya mafursa ya huko.
Kila mmoja ndoto za kwenda mbele hazifi kamwe.
Hongera sana kwa new couple. Please sasa viporo vyote choma moto mjenge maisha na shem
 
Hongera sana sister kila la heri..
Ila kuna baadhi ya madada humu (siwezi wataja) sidhani kama coment zao utaziona maana tayari roho za husda zimawauma
 
Aliyekwambia wazungu wanaoa nani?? Hapo kanunua papuchi akiichoka unatupwa kule..
Wewe sitaki madharau yako hapa mimi sio katoto kazuri ushindwaji wako wamaisha nanuksi na shida zakutooa .
Please mimi sio katoto kazuri nendeni mkachezee baikoko huko au baba na mama ukinijibu tena vibaya nakureport
 
ID yako ni husband seeker na kwa kuwa ushapata inamaana jf ndio basi tena hatukuoni coz nahisi ulikuja kuseek mume huku
 
Ina maana wewe hunitaki tena?[emoji134]
Ndo ushaniblock kama alivyofanyiwa mleta mada? Wee haya na mimi nitampata mchina nije nikudolishie hapa[emoji53][emoji53]
Aisee, naona umeamua kunigeuzia kibao baada ya kunilamba mpaka block ya salamu[emoji57]
We sema tu ushapata Kamchina kako
 
[emoji848]Mbona unamshadadia sana au wewe ndo ulimblock?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwaiyo kumpa mtu hongera ndo kushadadia.
Hivi kumbe Jf kuna tekinolojia ya kublock mtu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ