Nunua "used" ndege (Aircraft) Hapa

Nunua "used" ndege (Aircraft) Hapa

Haizidi laki 5....?

Kwenye hiyo web ndege hii inauzwa $1
110192709_1thumb_180x135.jpg
 
Badala ya kuwapa link hiyo tu ulitakiwa uanze na
1. Aina za Aircraft, tofauti zake na faida na hasara za kila moja.
2. Regulations za kuingiza aina mbalimbali za aircraft hapa tanzania,
3. Gharama za kuingiza aina mbalimbali za aircraft.
4. Gharama za kuendesha Aircraft za aina mbalimbali.

Baada ya hpo sasa ndiyo unawapa link za wauzaji wa aircraft used na mpya na vitu vya kuzingatia katikakuchagua aircraft.

Buying an Aircraft is one thing, RUNNING it is another!
 
kaka maguruneti serikali itakusumbua utahama ww utahamia gerezani dawa ya jirani mkorofi ni hii
NUNUA PILIPLI KICHAA KAMA KILO MOJA IKAUSHE KABISA,CHUKUA KOPO YALE YA RANGI AU JINGINE LOLOTE WEKA
MKAA ULIOWASHWA ONGEZA UKAA KOPO LIFIKIE NUSU USIKOLEZE NENDE KARIBU KABISA NA NYUMBA YA JIRANI MKOROFI NA KOPO LA MKAA UKIFIKA IWEKE ILE PILIPILI KWENYE KOPO LILILO NA MKAA UNAOWEKA RUDI KWAKO HARAKA FUNGA MADIRISHA YAKO VIZURI NA MILANGO NDANI YA DAKIKA TATU UTASIKIA JIRANI AKIOMBA MSAADA WW KIMYA HUO MOSHI
NI MKUBWA AKIUVUTA NICHAFYA ZISIZO ISHA MACHO YANAKUA MEKUNDU NA KUTOA MACHOZI PUA NDO USISEME ZINATOA KAMASI TUU ZINAWASHA BALAA MTAA MZIMA HAUKALIKI HATARUDIA TENA KUKUSUMBUA ATAKOMA KABISA
 
Haikosi umehudhuria mafunzo terrorism duh utaua mtu mkuu:what:
 
alafu akiua utaenda kumtetea mahakamani!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom