Nunua mabati kutoka kiwandani, Buguruni

Nunua mabati kutoka kiwandani, Buguruni

PATA BATI YA MSOUTH KWA TSH 20000 TU
TOKA KIWANDANI KWA MAWASILIANO PINGA
NAMBA 0653186373
FB_IMG_15324204677158591.jpg
FB_IMG_15322883613832832.jpg
FB_IMG_15320717850742026.jpg
FB_IMG_15320718221648565.jpg
FB_IMG_15320722769115063.jpg
FB_IMG_15320723356292979.jpg
FB_IMG_15320723408942715.jpg
FB_IMG_15320719470845573.jpg
FB_IMG_15322883613832832.jpg
 
Kuna matangazo mengine hata kama una nia na bidhaa unapata wasiwasi sana, bati 20,000/= hakuna cha gej wala nini, Mtoa mada jaribu kuelezea ukaelewekw, kadri watu watakavyoelewa ndio rahisi kununua bidha, Mbona Araf na dragon wana bei kubwa na hawasiti kutoa michanganuo ya bei zao.
 
Anajua wanauza mabati lkn kuyaelezea hawezi, msamehe hivi vitu vina utaalam wake
 
Haya matangazo mengine ni balaa tupu.
Biashara ya bati hapo Buguruni inatia shaka sana. Unakuta bati ya Rangi migongo mipana inauzwa kuanzia 17500 na kuendelea na wanakuambia ni gauge 30. Ili the same Bati ya gauge 30 ukienda kiwandani inauzwa kuanzia 21000 hadi 25,000. Wanachokifanya hawa ni kufuta gauge from 32 to 30 au upana kuwa mdogo. Kwa mtu asieelewa atanunua lakini bati baada ya 5 years hakuna kitu. Pia ni muhimu sana kuangalia Rangi. Kuna zilikuja na Rangi yake na kuna za kupigwa Rangi kwa mkono. Tuwe makini sana aisee
 
Geji 30 bando bei gani Na zinakaa bati ngapi Na geji 28
 
Haya matangazo mengine ni balaa tupu.
Biashara ya bati hapo Buguruni inatia shaka sana. Unakuta bati ya Rangi migongo mipana inauzwa kuanzia 17500 na kuendelea na wanakuambia ni gauge 30. Ili the same Bati ya gauge 30 ukienda kiwandani inauzwa kuanzia 21000 hadi 25,000. Wanachokifanya hawa ni kufuta gauge from 32 to 30 au upana kuwa mdogo. Kwa mtu asieelewa atanunua lakini bati baada ya 5 years hakuna kitu. Pia ni muhimu sana kuangalia Rangi. Kuna zilikuja na Rangi yake na kuna za kupigwa Rangi kwa mkono. Tuwe makini sana aisee
[emoji106]
 
Tunashukuru kwa kutujuza, ila kiswahili, lugha iliyotumika, matumizi ya "L" na "R", herufi kubwa zote, nadhani unabania au hujafanya research jinsi ya kutangaza bidhaaa...!
Nakushauri uwasiliane na watu wa sales at least wakupe idea ya kutangaza bidhaa, kwa kweli utakosa biashara kwa masihara uliyofanya kwenye hii thread..
 
Back
Top Bottom