Nunua lucky cement in a cheap price!!!!

Nunua lucky cement in a cheap price!!!!

Mkuu huyo jamaa yupo mikoani sasa akija kwenu by the time amepakia na kupeleka kule alipo si bei itakuwa imezidi 17,500 au hata hio 19,000 ambayo ananunulia au?

nilikuwa sijamuelewa but ukilinganisha na transport charges, yeah itacost almost kwenye bei hizo hizo, beside sisi tunauza kwa dar tu!!
 
Huo unafuu uko wapi?kwani hivi sasa hapa Dar tunanunua mfuko mmoja kwa bei ya rejareja Tsh 14,500/= sasa huo ni unafuu gani?

maeneo ya wapi unapo nunua hiyo cement kwa rejareja 14500?
 
Back
Top Bottom