Avaya-1234
Member
- Jan 16, 2013
- 10
- 0
Nusu kilo kwa $20? Hata Universal Percel Services (UPS), Federal Express (FEDEX), Airbone, na DHL hawakoo Ghali namna hiyo.
Bwana sun wu mimi pia niliwai kuagizwa mzigo nikautuma kwa ndege toka dubai nilichoshangaa nilitaka upwlekwe arusha lakini watu wa airline wakasema wao wapo responsible kuutuma mpaka dar ambapo clearing process inapashwa kufanyika na si arusha...ilikuwa kama miezi 5 iliyopita sijuhi kwa sasa
Mbona mambo ya Nusu kilo? ukitaka kuagiza mtambo inakuwa vipi?
Nusu kilo kwa $20? Hata Universal Percel Services (UPS), Federal Express (FEDEX), Airbone, na DHL hawakoo Ghali namna hiyo.
freight nyingi sana mzigo ukicha kwa air cargo port of destination huwa ni dar the only way I know to go around this labda utumie Kenya Airways ili mzigo upite via Nairobi to Mwanza au Arusha unless otherwise freight nyingi destination na DarBwana sun wu mimi pia niliwai kuagizwa mzigo nikautuma kwa ndege toka dubai nilichoshangaa nilitaka upwlekwe arusha lakini watu wa airline wakasema wao wapo responsible kuutuma mpaka dar ambapo clearing process inapashwa kufanyika na si arusha...ilikuwa kama miezi 5 iliyopita sijuhi kwa sasa
pole for the hassle, ila next time uwe makini na ujue umuhim wa courrier companies.
mkuu Avaya-1234 je mnafanya cargo freight ..... ninahitaji kufanya shipment from china to dar every month about 2.8 cbm za craft paper bags ... je naweza kujiunga ... and if possible what is the freight charge and the lead delivery time?
ndio we do it bluetooth; kindly drop ur details at the same email address, we will have a pleasure to handle it for u.
Mkuu nadhani jamaa haongelei Door to Door anaongelea Air Cargo je nyie mnapeleka mzigo mpaka mikoani lets say Mwanza Airport au Arusha Airport ?, by the way kuna siku nilitaka kuwatumia kwa door to door from Zhuhai China kuja Bongo.., lakini supplier wangu akaniambia DHL kwa pale ni way cheaper kuliko nyie nilikuwa nataka kutuma kama 30kgs and DHL was cheapest at that time vipi je mshapunguza na kuwa competitive
as per cost, just try us please and see the difference
Niameagiza laptop 2 marekani kilo 10 usafirishaji $70, Piga hesabu hapoAcha kudanga watu kama barua unatuma kwa bei ya zaidi ya Tsh.75000/= itakuwaje kwa nusu kilo?
Niameagiza laptop 2 marekani kilo 10 usafirishaji $70, Piga hesabu hapo