Nunua hizi simu haraka!!!!

Tich

Member
Feb 23, 2013
47
0
Blackberry bold 9700 kwa laki tatu na blackberry curve kwa shilling laki na nusu na samsung galaxy S ya T mobile unlocked shilling laki tatu na nusu
 
Attachments

  • IMG-20130222-01811.jpg
    IMG-20130222-01811.jpg
    398.1 KB · Views: 265
  • IMG-20130222-01812.jpg
    IMG-20130222-01812.jpg
    199.5 KB · Views: 236
  • IMG-20130219-01770.jpg
    IMG-20130219-01770.jpg
    159 KB · Views: 228
Kama wewe ni Kibaka unadhani wote vibaka kwanini ufikirie huko eti zimepigwa mahali sio? Peleka ujinga wako huko kwanza kwanini u comment hata hela ya kununua huna
kwanini ninunue haraka mkuu? au zimepigwa mahali sio?
 
tatizo la wafanyabiashara wa tz wanadhani kuwa mwenyeshida ni yule anayenunua tu kumbe hata anayeuza pia ana tatizo.
kama hana asingeuza....

twende kwenye shida zetu mkuu, mi nimeipenda hiyo galaxy s.(t-mobile), ni galaxy si,sii au iii na ni namba ngapi? nataka nii google specs zake kwani hujaweka wazi
 
Ni SGH-T959 yani hii imeandikwa hivyo samsung galaxy S mkuu
tatizo la wafanyabiashara wa tz wanadhani kuwa mwenyeshida ni yule anayenunua tu kumbe hata anayeuza pia ana tatizo.
kama hana asingeuza....

twende kwenye shida zetu mkuu, mi nimeipenda hiyo galaxy s.(t-mobile), ni galaxy si,sii au iii na ni namba ngapi? nataka nii google specs zake kwani hujaweka wazi
 
ahahahahahahaahahahaahaaaaa....nimefurahi tena. thanx kwa kuniongezea cku za kuishi coz ukicheka unaongeza cku za kukaa duniani
 
Blackberry bold 9700 kwa laki tatu na blackberry curve kwa shilling laki na nusu na samsung galaxy S ya T mobile unlocked shilling laki tatu na nusu

umezipiga dukani kwa mhindi Kaka sasa unataka kuzitoa haraka?
 
umesahahu hata kuweka contact zako mambo ya kupiga maana umekuja unakimbia jamii forums utoe mzigo...... hahhaha jokes mkuu usi-mind
 
Mimi naomba mabenk yatusogezee huduma za online purchase maana simu zingine bei yake ni rahisi sana kwenye mtandao (mfano ebay.com) lakini jamaa walioko huko wanaponunua kwa bei chee wanatuuzia kwa bei kubwa sana. Mtazidi kutuongezea umaskini. Simu ya dola 50 mnataka laki 5 hadi 6, kwanini? mtuhurumie.
 
No ya simu haijawekwa hapo on purpose coz of lunatics like u utataka kuchezea upige uulize wakati hata cent una mfukoni unavuja jasho la kwapa and for ur info Tz hakuna T mobile hiyo curve na samsung c za hapa na bold nlinunua hapa nauza simu zote coz my time to go imewadia so ntaenda na simu wapi?next tym Get prepared b4 u write something ill kick ur ......
umesahahu hata kuweka contact zako mambo ya kupiga maana umekuja unakimbia jamii forums utoe mzigo...... hahhaha jokes mkuu usi-mind
 
Mkuu hata ikisogezwa will u be able to shop online?maana kipato chetu ni hivyo tena tatizo c kusogezewa tatizo dollar?lol karibu kwetu cc wazoefu
Mimi naomba mabenk yatusogezee huduma za online purchase maana simu zingine bei yake ni rahisi sana kwenye mtandao (mfano ebay.com) lakini jamaa walioko huko wanaponunua kwa bei chee wanatuuzia kwa bei kubwa sana. Mtazidi kutuongezea umaskini. Simu ya dola 50 mnataka laki 5 hadi 6, kwanini? mtuhurumie.
 
Kama wewe ni Kibaka unadhani wote vibaka kwanini ufikirie huko eti zimepigwa mahali sio? Peleka ujinga wako huko kwanza kwanini u comment hata hela ya kununua huna

Kama marketing skills yako ndo iko hapo mwajiri mtu akusaidie kazi.. ngoja nitafute pesa nije kuzinunua zote kwa haraka!! Lol
 
wadau mi nnazo tena bei nzuri tu ni used bt in good condition, blackberry 9300 bei 150000, blackberry 9700 bei 230000, iphone 3gs bei 260000 nitumie sms au nipigie ila bei hazishuki. Contacts 0659197822
 
Sasa wewe sijakuelewa maana ako c ubandike tangazo lako shida yako nini usiwe kama ujui kuandika tangazo mfyuuuuuuuQUOTE=millide;5876440]wadau mi nnazo tena bei nzuri tu ni used bt in good condition, blackberry 9300 bei 150000, blackberry 9700 bei 230000, iphone 3gs bei 260000 nitumie sms au nipigie ila bei hazishuki. Contacts 0659197822[/QUOTE]
 
Blackberry bold 9700 kwa laki tatu na blackberry curve kwa shilling laki na nusu na samsung galaxy S ya T mobile unlocked shilling laki tatu na nusu

Duh, hapa nina mashaka sana na hizi simu maana tunaambiwa tuzinunue haraka sana. Nijuavyo mimi T-Mobile ni kampuni iliyopo Marekani, na hizi simu ni za hiyo kampuni. Swali, je mkataba wake umekwisha na ndiyo maana unauza hizo second hands au je, ulimlipua mwenye hizo simu na unataka tuzinunue haraka kabla T-Mobile hawajazilock? Usiwe tapeli kiasi icho bwana, pesa ni ngumu sana kupatikana, tunataka vitu vya uhakika.
 
Shenz zenu wote mlio na miwazo michafu hamna mnunuzi anaeongea na miroho yenu michafuuuuu mfyuuuu simu zote nshaunza tena kwa watu wenye nia c wababaishani wenye nia ya kukosoa kweli naamini watu wenye uchungu wa maisha mpo wengi na sehemu pekee ya kumaliza hasira zenu ni humu JF thanx to all honest people ambao mmeni PM na we managed to push tha buzness huters kazi kwenu nyooooo
 
Back
Top Bottom