Nunua hii nyumba mwanza

Nunua hii nyumba mwanza

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
ImageUploadedByJamiiForums1413696324.722888.jpgImageUploadedByJamiiForums1413696376.674634.jpgImageUploadedByJamiiForums1413696415.433594.jpg
Hii ni nyumba kubwa iliyoko mandu MWANZA.ukiwa unatoka mwanza mjini unaelekea igoma shukia MWATEX fuata barabara inayoenda mahina fika njia panda ya mandu utaiona mkono wa kushoto,itauzwa Kwa njia ya mnada kutokana na amri halali ya mahakama kulingana na deni analodaiwa la mda mrefu, deni analodaiwa ni milioni 74. Kumbuka nyumba hii ina hati miliki inayoshikiliwa na benki.
Nicheki Kwa namba 0788752672
 
Kumbuka mnada hauna bei, hivyo bei utapanga wewe, njo upange bei uweze kujibebea Nyumba hii ya kisasa iliyoko pembezoni Mwa barabara
 
Mbona kama sielwei vile,
Naona nyumba zimeungana kama train,sasa hapo inakuwaje

Hii ni Nyumba moja kubwa sana ina 6 kubwa,sitting kubwa 2, dining 1, counter/bar moja eneo kubwa lililozungukwa na ukuta wenye geti kubwa mbili.hakika ni Nyumba kubwa ya kisasa
 
Ndugu wana JF Nyumba tajwa hapo juu itauzwa Kwa njia ya mnada wa hadhara siku ya jumapili tarehe 02/10/2014 kumbuka Nyumba hii inahati na iko chini ya benki sisi tunatakiwa kuhakikisha mnunuzi anapatikana kumbuka siku zote mnada hauna bei, bei utapanga wewe nyote mnakaribishwa Kwa maelezo zaidi tuwasiliane Kwa 0788752672
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom