Nunua gari kali, jenga ghorofa

Nimekubali nini?

Nimekuambia wewe una low standards, unaendekeza maisha ya kuona kununua subwoofer ni achievement.

Wewe ni limbukeni na unamrithisha mwanao ulimbukeni.
Umebadilika! America teaches you kila unachokifanya ni achievement na unakubali, ila TZ inakufanya uone kila unachofanya kifiche, most of the people I have met, they never wanted nije niandike their inspirational stories ili watz nao wapambane kuja huko. So I understand the African social life ilivyoathiri, while you know bragging is just the life.
 
Kama porini hakunipi furaha kwa nini nikaishi huko?

Chaaba anaishi porini na ana furaha. Porini ni sehemu yake inayompa furaha.

Ukimleta chaaba uraiani, atakosa ile furaha yake ya porini aliyoizoea.

The same way, ukinipeleka mimi nikaishi porini, nitakosa ile furaha yangu ya uraiani niliyoizoea.

Happiness comes from inside. Unaweza kuwa na mali usiwe na furaha. Na kuna wenye mali wana furaha.

Kuna maskini hawana furaha, kuna maskini wana furaha.

Furaha hutoka ndani ya mtu. Bila kujali yeye ni maskini au tajiri.
 
Wewe na mimi hatujatoka katika class moja kwa hiyo kitu unachoona wewe achievement , ambacho kweli kinaweza kuwa achievement kwako, mimi kwa kuangalia standards za maisha zinavyotakiwa kuwa, naona ulimbukeni.

Na katika mimi kukuambia hilo, natumia haki yangu ya kujieleza tu.
 
Mitihani yenyewe ya miaka hii ni rahisi sana huhitaji kutumia akili nyingi kama nyakati zetu

Mitihani rahisi sana kuna multiple choices hadi kwenye hesabu!

Ndiyo maana unaona hadi serikali imeruhusu waliofeli huo mtihani waendelee tu na kidato cha tatu, hii ni kwa sababu hata wao serikali hawachukulii serious sana mitihani hiyo, lakini wewe ukapoteza mafuta na muda kumtembeza mtoto kisa amefaulu form two
 
Ni falsafa tofauti!

Mimi napongeza mtoto kwa kila hatua, ila namshauri afanye zaidi. Inaleta sense kwamba nyumbani wanajali. Tofauti nilivyolelewa nakuja na A nyumbani full shangwe nakutana na kesi sijui sijafua nguo au sijui nimepiga nani and nobody cares kuhusu nilichofanikiwa. So ni kweli mitihani ni rahisi, ila wako waliopata zero.

And I value having quality time na mtoto.
 
Ni umaskini wa nchi zetu tu , ndio unasababisha watu Kuona kuwa na magari ndio mafanikio makubwa kiuchumi .
Viongozi wachawi wanaona kuweka makodi makubwa ndio ujanja yaani kana kwamba kuwa na gari ni anasa, wakati hayo magari yanakunywa mafuta ambayo nayo yana makodi kibao. Sheenzi kabisa mbwa hawa .
 
Magari yangemilikiwa kwa kupiga dua, hakuna ambaye angetembea kwa miguu!!!

NB:Nyuma ya hayo magari makali kuna hadithi kali pia.

Mwambie dogo akomae tu na kitabu atakuja kumiliki hata yeye!😀
 
JF unaweza ukatishwa, ukashinda na mawazo siku nzima.
 
Kwanza USA 🇺🇸 hakuna mtu mwenye time na maisha ya mtu.

Hakuna wa kukupa heshima, eti kisa gari unalo endesha.

Usidanganye. It seems you haven't been there.

Gari ni kipimo cha mafanikio kwa maskini wengi Afrika. Sio USA.
Unaelewa maana yaneno “Fahari” ?

Jamaa hajazungumzia ili mradi gari anazungumzia gari za kifahari
 
Ni umaskini wa nchi zetu tu , ndio unasababisha watu Kuona kuwa na magari ndio mafanikio makubwa kiuchumi .
Marekani nilikwenda pahala kupata Gahwa....Yule aliyenihudumia anamiliki bonge la Chevrolet Silver rado.....
Baadae ndio nikaja gundua magari siyo issue..ukiwa na Credit card ina soma vyema ...wapewa mkopo..kila mwezi unawanyunyuzia mpunga kiduchu...

..Mfanya biashara atakaye tumia wazo hili bongo atapiga hela sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…