Nunua gari kali, jenga ghorofa

Gari inashuka thamani, is undeniable, ila haifanyi watu wasizungumzia Cadillac na magari makali wanayomiliki. ANd you know how these brands mtu akiwa nazo anavyo brag... kwenye zile Homecoming zenu watu wakirudi maeneo yao huwa wanakuja na tuzo, accomplishments mbalimbali including magari makali kuonesha sio kinyonge
 
Mwambie jamaa awacheki Wahadzabe kule porini. Yule  Chaaba muda wote ana furaha. Na anaishi porini.

Tunaoishi uraiani kwenye majumba ya kifahari. Ndio kila siku ugomvi. Wengine hadi wanafikia hatua ya kuchinjana na kupigana bastola.
Niliandika kuhusu complexity, sasa kama unahisi unapenda Chabba na Dudkwe wanavyoishi, twende tukaishi nao wiki moja. Au tutafute pori twende tukakae miezi mitatu tu, if you accept the challenge njoo tuonane tukatafute pori moja kali twende tuache simu na kila kitu tukaishi.

Wewe hautaweza kuishi kama Chabba, as long as umeshakubali hii compelx life na kuacha simple life ya Chabba. Ila ukikubali kuishi, I will challenge myself twende porini tukakae miezi mitatu tu
 
Soma hiyo The illusion of happiness, utaona ni jinsi gani binadamu wameingizwa chaka kuhusu FURAHA.

You don't need to be rich to be happy

Ndiyo maana matajiri wengi Tanzania wanaumwa kisukari na presha kwa sababu hawajui kupumzika wala kuenjoy pesa zao, muda wote yapo bize kama vile yataishi milele
 
Basi tuseme mafanikio ni swala la mtu binafsi 🤔
 
Hata mademu utawapata kirahisi bila hata kutongoza, mpe tu lifti mpe na namba yako ya simu, kesho yake tayari unaye guest house

Ila sisi tunaotembea kwa miguu tunatongoza mpaka kupiga magoti wanatuangalia tu!
Mhmmm Sasa demu akimkubali mwenye gari ni kwamba atampa Hilo gari au nini?
 
Nacho jaribu kukwambia ni hivi, Happiness comes from inside, material things kama gari, comes from outside.

Material things kama gari vinakupa furaha ya muda tu.

Hilo gari likipata ajali na kuharibika halafu ukute ndio umenunua gari kali kama LC300, utalia hadi kamasi likutoke puani.
 
Asante kwa kitabu,

Hayo magonjwa ya matajiri bongo ni suala tofauti. Wenye hela wanaongoza kwa ulaji mbaya, ni hivi recently wameanza kuona umuhimu wa kula vizuri. Mind you kuna tofauti kubwa ya kula vizuri na kula vitu vitamu
 
Hiyo mentality ya ku brag kwa sababu ya gari ni umasikini, ulimbukeni.

Nunua gari lizoeleke lionekane kitu cha kawaida uondoe ulimbukeni kwa familia, si utake ku brag, kwa sababu gari ni chombo cha kusafiria si kitu cha ku brag.

Mimi siku nakwenda kununua BMW X5 nilimwambia dogo twende wote akachague gari, akakataa kwa sababu alikuwa anafanya mambo yake. Alikuwa katikati ya game yake.

Aliona kitendo cha mimi kwenda kununua gari ni kitu cha kawaida sana hata hakutaka kupoteza muda wake twende naye akachague gari nitakalonunua.

Kwanza hilo BMW tulishakuwa nalo haikuwa mara ya kwanza kununua, kwa hiyo aliona ni la kawaida tu.

Sasa unatakiwa kuwazoelesha watoto waone gari ni kitu cha kawaida kama hivyo, waondoe ushamba wa kutamani gari kwa kulimbuka kama hivyo alivyofanya mwanao.
 
Mwambie jamaa awacheki Wahadzabe kule porini. Yule  Chaaba muda wote ana furaha. Na anaishi porini.

Tunaoishi uraiani kwenye majumba ya kifahari. Ndio kila siku ugomvi. Wengine hadi wanafikia hatua ya kuchinjana na kupigana bastola.
Huyo ameshaathirika kisaikolojia ndiyo maana kamwambukiza hadi mwanae hizo mentality bila hata yeye mwenyewe (mzazi) kujua kuwa tabia anazozionyesha mwanae ni matokeo ya yeye mwenyewe baba

Ukisoma comment Zake nyingi utagundua huyu mtoto ni matokeo ya huyu baba
 
Unanikumbusha kitabu cha Paulo Coelho, The Winner Stands Alone... anasmea matajiri kuna muda wanatamani wasingekuwa na mali, ila wanashindwa kuzitupa hizo mali iliwaendelee na simple life.

It is greener on the other side... lakini hata wewe bado unaogopa kuacha simu yako ya gharama kwenda kuishi kama Chabba walau kwa mwezi tu... unaogopa hata kujichallenge kwa miezi mitatu (Sio life time)
 
Kuondoa ulimbukeni sio kukataa ukweli kwamba inaonesha mafanikio. Kama umesoma bongo utaona jinsi vijana wa chuo wanavyohangaika kumiliki subwoofer ambayo haiongezi kitu kwenye maisha yao ya chuo. Wanaacha kulimbuka ikiwa mtu amezaliwa amevikuta.

Wewe unajua jinsi wamarekani weusi kwa weupe wanavyotamba juu ya magari wanayomiliki, japo wengine wamezaliwa wameyakuta. Mfano ni yule mzungu aliyevunjwa taya juzi anatamba sana na vitu anavyomiliki ingia insta page yake uone.
 
Unaweza kuamua kuishi katika ulimbukeni au kukataa ulimbukeni, ni haki yako ya kibinadamu.

Ila usiseme kuwa hatujakuambia kuwa kushobokea magari, tena haya ma Tesla, kama status symbol, ni ulimbukeni.
 
Asante kwa kitabu,

Hayo magonjwa ya matajiri bongo ni suala tofauti. Wenye hela wanaongoza kwa ulaji mbaya, ni hivi recently wameanza kuona umuhimu wa kula vizuri. Mind you kuna tofauti kubwa ya kula vizuri na kula vitu vitamu
Chanzo siyo chakula

Chanzo ni kuwa bize 24/7

Hawapumziki na kazi, muda mwingi wapo bize sana wengine wanaendesha gari huku wanasinzia kisa utajiri na kumaintain status

Matajiri wanakula vizuri sana tatizo hawalali wala kutuliza akili zao na ndiyo chanzo cha kisukari na presha siyo chakula
 
Unaweza kuamua kuishi katika ulimbukeni au kukataa ulimbukeni, ni haki yako ya kibinadamu.

Ila usiseme kuwa hatujakuambia kuwa kushobokea magari, tena haya ma Tesla, kama status symbol, ni ulimbukeni.
Hadi hapo umekubali, and then unazungumzia 'life style'.
 
Amen,ila kuba kipande sijakupata kuhusu mtihani wa form two
 
Amen,ila kuba kipande sijakupata kuhusu mtihani wa form two
Nilizurura naye sana kwa kuwa matokeo yake ya kidato cha pili ni mazuri. Kama umesoma zamani zangu taarifa ni kuwa siku hizi kidato cha pili kuna mitihani na matokeo yanatoka kitaifa, angalia necta utayaona. So, ilikuwa ni namna ya kumpongeza kwa matokeo yake pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…