Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Dogo analeta miyeyusho aiseeKwamba,,,,,,
Ananichangamsha kidogo inabidi nichukue kama Inspiration sio kwa ubaya ndio maana anasisitiza kuniombea.Haukukafinya hako katoto kako kwa kukuletea unyonge mzee wake ?
NomaDogo analeta miyeyusho aisee
Mpende sana huyo mtotoAnanichangamsha kidogo inabidi nichukue kama Inspiration sio kwa ubaya ndio maana anasisitiza kuniombea.
Na anajua magari kuliko ninavyoyajua. Kila brand akiiona tu anakuambia ile gari fulani... kimsingi mawazo ya gari zuri kwake ni kuanzia DiscoveryNoma
Ni umaskini wa nchi zetu tu , ndio unasababisha watu Kuona kuwa na magari ndio mafanikio makubwa kiuchumi .Na anajua magari kuliko ninavyoyajua. Kila brand akiiona tu anakuambia ile gari fulani... kimsingi mawazo ya gari zuri kwake ni kuanzia Discovery
Nchi gani ambayo kuwa na magari ya kifahari sio mafanikio?Ni umaskini wa nchi zetu tu , ndio unasababisha watu Kuona kuwa na magari ndio mafanikio makubwa kiuchumi .
Yeah sure.Ni umaskini wa nchi zetu tu , ndio unasababisha watu Kuona kuwa na magari ndio mafanikio makubwa kiuchumi .
🇺🇸 USA.Nchi gani ambayo kuwa na magari ya kifahari sio mafanikio?
Mimi nimeshamaliza ,wewe komaa ununue gari kali kama dogo anavyokupa motishaNchi gani ambayo kuwa na magari ya kifahari sio mafanikio?
Kwa US, gari ni kipimo cha mafanikio, I have been there! Najua gari unaloendesha lina-determine heshima unayopewa. Na US ina consumerism kubwa than what you are told.🇺🇸 USA.
Ndururu si chururu na chururu si ndondo ,hivi walimaanisha nini?Akikua ataelewa kuwa chururu si ndondondo🐼
🚮Kwa US, gari ni kipimo cha mafanikio, I have been there! Najua gari unaloendesha lina-determine heshima unayopewa. Na US ina consumerism kubwa than what you are told.
US ukitumia usafiri wa Umma wanajua kabisa unahitaji msaada unaingia kwenye kundi la "broke guys" ambapo hata kupata mapenzi ni lazima udeal na vibonge only.
So sio kweli kwamba US gari sio kipimo cha mafanikio, thus ni kawaida kusikia mtu kwanza akikutajia magari aliyonayo.
Noma sana! Ila itoe kwamba US ukiwa na gari kali sio kipimo cha mafanikio ni uongo. Watu wanahangaika kudirve tesla na akipata tesla anatamba kweli kweli...Mimi nimeshamaliza ,wewe komaa ununue gari kali kama dogo anavyokupa motisha
Kwanza USA 🇺🇸 hakuna mtu mwenye time na maisha ya mtu.Kwa US, gari ni kipimo cha mafanikio, I have been there! Najua gari unaloendesha lina-determine heshima unayopewa. Na US ina consumerism kubwa than what you are told.
US ukitumia usafiri wa Umma wanajua kabisa unahitaji msaada unaingia kwenye kundi la "broke guys" ambapo hata kupata mapenzi ni lazima udeal na vibonge only.
So sio kweli kwamba US gari sio kipimo cha mafanikio, thus ni kawaida kusikia mtu kwanza akikutajia magari aliyonayo.