Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwalimu unaweza niagizia Samsung note 20 ultra (ikiwa double line itakuwa Safi zaidi)
Inaweza kuwa pesa ngapi
Nadhani refurbished au used but in good condition itakuwa poa zaidi
Halafu ziwe zile zinatufaa huku mwakaleli Tukuyu
 
Samsung note 20 ultra
1637241654658.png


RAM 8GB
ROM 256GB
Price (hadi Tanzania toka USA): US $1,087.3
1637242100377.png


Muda wa kufika nchini: Wiki 2
 
Back
Top Bottom