Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Ndio waweza kupata

Je unahitaji za kampuni gani?
- JBL?
- SONY?
- BEAT?
- SAMSUNG?

Zipi hasa? Ingia amazon .com na chagua model utakayo hitaji.
Nahitaji hii hapa
Screenshot_20181009-175804.jpg
 
Mkuu nimekuulizia kuhusu earphone naona hujanipa bei kamili mie nahitaji earphone moja tu aina ya samsung pekee
 
Daaaah Mkuu Mwl.RCT Mungu akupe neema na maisha marefu Sana, Mzigo wangu umefika salama salimini!

Ndugu zangu na wafanyakazi wenzangu walikuwa wanaanda mbavu za kunicheka kuwa nimetapeliwa! Hahahaha hahahaha

Ila SASA baada ya Mzigo kufika kila MTU anataka naye niwaagizie kupitiA kwako,

Mnyama xioami yupo mkononi, tegemea mafuriko kutoka nyanda za juu Geita!

Mungu akubariki Sana Mkuu!
 
Mkuu nahitaji hizo...
Bei gani mpaka nazipata...
Screenshot_20181011-075241.jpeg
Screenshot_20181011-075620.jpeg
Screenshot_20181011-075454.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20181011-075337.jpeg
    Screenshot_20181011-075337.jpeg
    48.7 KB · Views: 63
Mwl.RCT , vipi kuhusu ''Alibaba'', mbona hauitaji kwenye manunuzi online?

Kuna bidhaa nataka nikupe link afu you pay4me and buy4me. Ipo Alibaba. Nimeku-PM.
 
Back
Top Bottom