Nundu la Ole Sabaya kichwani kwake limetokana na nini?

ni vyema ungemuuliza au ungewauliza wale magereza labda hata mate wenzie huko aliko...sisi unatuonea tu...
Watanzania wana tatizo la kuuliza maswali sensitive kwenye wrong audiences.

Unakutana na mjinga mmoja anatoa ushauri kwa Samia kupitia ki grupu chao cha watsap as if Samia yupo kwenye hilo grupu wakati huo huo wanasisitiza yanayojadiliwa kwenye hilo grupu yasitolewe nje ya grupu.
 
Wewe huijui nguvu ya Jf!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nimemwona aliyekuwa DC wa Hai Ole sabaya akiingia mahakamani huku akiwa na nundu kubwa kwenye kichogo cha kichwa chake.

Nimemuona kupitia luninga ya ITV na picha yake ilikuwa ikirudiwarudiwa kuonesha nundu lililopo kichogoni.

Au analo siku zote?

Alikataa kuoga, wakaona isiwe noma akapigwa na kitu kizito kichwani.
 
Bora wewe mwanamama.

nawasoma wanaume wenzangu naona wanawaza kuingiliana kinyume na maumbile tu baada ya mtu kuuliza nundu ya kichwa imetokana na nn.

Mtu mzima akili inawaza uume na matako ya mwanaume mwezake plus kinyeo kwenye kutoa majibu kwa swali la uwepo wa nundu kichwani.
Uwe makini na wewe usije ukaingiziwa dushe

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom