Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Sikumoja Nunda alirejea shule na kumwambia baba yake kuwa amepata "F"
Baba yake akashangaa sana vipi umepata F
Nunda; Mwalimu aliuliza 3X2 nikamwambia jawabu ni sita
Baba: Ni sawa sawa kabisa !
Nunda: kisha akauliza tena 2X3
Baba:Mwalimu mshenzi kuna tofauti gani hapo !
Nunda: Ndio baba na mimi nilimwambia hivyo hivyo ,we mwalimu mshenzi sana kuna tofauti gani hapo :becky: