Mwiba JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 7,607 Reaction score 1,764 Jan 14, 2015 #1 Memba wote wa JF ifikapo mwakani itabidi mlipie ,na itabidi mtoe namba zenu za simu kwanza kisha unapigiwa kwa uhakiki ,na utasmsiwa kineno siri. Kwa maboresho ya uhakika dec 31 2015 memba wote wanafutwa. Ndio maana yake.
Memba wote wa JF ifikapo mwakani itabidi mlipie ,na itabidi mtoe namba zenu za simu kwanza kisha unapigiwa kwa uhakiki ,na utasmsiwa kineno siri. Kwa maboresho ya uhakika dec 31 2015 memba wote wanafutwa. Ndio maana yake.