Noswerd malila
Senior Member
- Jan 12, 2014
- 145
- 74
3D,4D&7
Kwa wale wenye uelewa wa mambo haya naomba kufafanuliwa kidogo juu ya mambo haya japo yamekaa kinadharia sana ila kuna wakati huwa yananiacha na maswali mengi binafsi huwa nakosa jibu nikienda deep sana juu ya 3D na 4D kwanza kwa hesabu za kawaida ukijumlisha 3Dna4D without D unapatata 7
Ukirudi kwa decimal&hexadecimal (h)3D=61(d) (6+1=7)numerology
(h)4D=77(d)
Kwa vitabu vya dini tunaambiwa muumba alimba dunia kwa siku 6 ya 7 akastarehe njooni watalamu wa mambo muweke mambo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app