Nukuu za mwalimu Nyerere

Kutudanganya kaoteshwa kuna vita kati ya nchi na nchi kumbe kaaangalia kwenye Tv.eti tv ni anasa wakati ye ana tv
 
Kutudanganya kaoteshwa kuna vita kati ya nchi na nchi kumbe kaaangalia kwenye Tv.eti tv ni anasa wakati ye ana tv
 
"ikulu ni mahali patakatifu mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Tanzania kuja kupageuza kuwa pango la wanyang'anyi"
 
NUKUU ZA BABA WA TAIFA
 
Nia tunayo, sababu tunayo, na uwezo tunao wa kumpiga
 
Zimbabwe ya Mugabe na Uganda ya M7?
 
Huyu mzee nukuu zake tunajionea na aliyoyazungumza
 
naomba mnaokumbuka vema mnikosoe ila nakumbuka kuna mahali aliandika kama si kusema "Uhuru bila nidhamu ni fujo, na nidhamu bila uhuru ni ubeberu"

Kuna nyingine ni ya kiingereza siikumbuki vizuri kwa anayeijua atuwekee kwa faida ya wengi ...ila ni kama inasema "It is teachers more than any other single group of people in a society who determines and shapes the attitudes of people...."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…