ni ujinga kusema pombe ni mbaya wakati wewe ndio umeitumia vibaya
watu na fani zenu hahaa!.....point.
Asprin vilevile ni ujinga kumpiga marufuku Saharavoice kukanyaga DAR wakati hujatangaza dau kwa atakayemkamata.
hahaaa!unadumisha mila ee!
sana si unajua ni muhimu kwa vizazivya sasa na vijavyoooo
mh!haya mi
nimeacha kuanzia leo!!!
aahh naona wewe unatafuta frustration... hivi hivi
eeendeleeeeaaa!! kulipa kodi.... japo wanazitumia vibayateh teheeee!
kwa hyo niendelee!
mh!haya mi
nimeacha kuanzia leo!!!
Ulininukuu vibaya! I told you "love u swt"
PL ati unasema umeacha ze biya? Angalia Jiwe Linaloishi asiharibu taratibu za TRA za kukusanya kodi. KUNYWA BIYA BHANA