Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,848
- 58,544
- Thread starter
- #21
Kwa sasa nimeachana na hyo biashara ya kiwaki 😁Nina shida na tomato mkuu nakupataje ?
Kwa sasa nimeachana na hyo biashara ya kiwaki 😁Nina shida na tomato mkuu nakupataje ?
Kwa sababu haujafafanua kuhusu Hilo neno HAUNA CHOCHOTE, sasa hivi Kuna wimbi kubwa la wanaume kukimbia majukumu ya uanaume na kujiweka kwenye majukumu ya kike na kwa hii kauli yake itachukuliwa kama kampeni mkuu hebu hizo Nukuu zenu tuwaachie wakina dangote sisi masikini tukomae tuUjaona vya kuongea mpaka usemee kushikwa tako
Heshima unayoilinda haina maana kama hauna chochote...
AHSANTE
