Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

Kwamba serikalini kuna traiters wambea? Maana walitangaza bila kuruhusiwa na mamlaka husika
 

Tatizo hata imani za mitume huenda zikawa ni imani potofu : hatujui imani sahihi ni ipi for sure . Unayodhani kuwa ni imani sahihi., kuna maeneo inaonekana ni imani za majini na uchawi.

Imani bora ni kuheshimu imani za wengine, mila na desturi zao.
 
Chahali alisema haya wakati ule na leo Muda umekuwa Mwalimu.
 
Kwamba serikalini kuna traiters wambea? Maana walitangaza bila kuruhusiwa na mamlaka husika
Hilo sijui, lakini siku msiba rasmi unatangazwa ilikuwa ni kama mechi recorded, wakati huku mitandaoni kifo kilishajadiliwa sana.
 
Asante mtumishi
 
Haya,wale waliomuandama wazili mkuu kuwa ni muongo wameshajua anayetakiwa kutoa taarifa sasa! Hana mamlaka ya kuongea anavyotaka kwa jambo hilo. RIP JPM.
Hakika, katika hali kama ile kauli yake ile hakupaswa kulaumiwa kwayo
 
sasa naamini why hawa hawapo kwenye database muhimu..
Kabudi
******
Bashiru
 
Hii namba kumi ndiyo inayochafua hadhi na heshima ya akina Kabudi, Bashiru na Ndugai.
Wote hao ni wahuni tuu wasio na akili ndio maana wote wamepigwa chini kiaina, hatuhitaji wapuuzi kama hawa kwenye power, Kuna clip nyingi sana zinazothibitisha upuuzi wa hawa watu
 
Swali alilopaswa kuulizwa Mabeyo kwanza ni..kwa nini wananchi hawakujulishwa juu ya ugonjwa na wakati Rais anaumwa wanakuja kutangaziwa kifo?
Mbona kifo walitangaza, lkn wakati anaumwa hawakusema..ni upumbavu kudhani unaweza kumfanyia timing aliyekupa uhai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…