Ntayapeleka wapi haya??

Ntayapeleka wapi haya??

Mkuu umeona enh?! Kuna watu nilikuwa nawangojea tu hapa jamvini, 'Ooh!Lowassa chaguo la Mungu' Ooh! Yesu alisemwa na kutukanwa pia! Ooh! Kaombewa na Ma-sheikh, maaskofu, wachungaji! Eti ooh!Atakuwa rais ndani au nje ya CCM.

Walileta mchezo walisahau MUNGU hadhihakiwi!

Nauliza hivi kwani Uchaguzi tayari?????
 
ha ha ha! ulijumua mengi nini? anza kutinga mwenyewe unashindia nyumban na siku Yanga ikicheza.
 
Vipi kwani? Au kwasababu umekosea kwenye speling umeweka double s. Yatauzika tu, we peleka kwenye mnada wowote wenye wamasai especial monduli uone kama hujarudi kuandaa nyingine kama hizo.

wanaweza kumpiga wakadhan anawakejeli! wana hasira saa hizi kama wamemwagiwa maji ya betri.
 
Kuna jamaa yangu aliacha kazi akawa konda wa ile chopa ya EL.

Napiga hapatikani, nawaza sijui kama yuko salama. Tujiandae kufarijiana jamani
 
Yapeleke Mbinga mpaka wakigundua kwamba jamaa sie utakua umerudisha hela yako
 
Nauliza hivi kwani Uchaguzi tayari?????

Uchaguzi bado, lakini CCM was the best for him to win this thing(ingawa hakuwa na nafasi pia). Hata kama akiendea nje ya CCM hawezi kushinda kwa sababu;

1. Kwenda nje ya chama kwa kuwa tu amekatwa tafsiri ni kuwa si muumini wa 'demokrasia' , simply ni mbabe na anachotaka lazima kiwe.(Hii itafanya ashindwe kuuzika kwa wananchi)


2. Kuhamia chama kingine (nje ya CCM) ,chenye sera na ilani tofauti na CCM, ni kuibua maswali muda wote huo alikuwa wapi kama aliamini sera hizo(za chama kipya).


3.Kuhamia chama kingine(ni kutaka urais tu, otherwise angebaki tu CCM), chama gani kitakubali makapi ya CCM yawe cream ya chama?


4. Wafuasi wengi walimuamini kama "anaweza" kuleta mabadiliko akiwa ndani ya CCM na si nje.


5. Baada ya 'kukatwa' na kuwatelekeza mashabiki/wafuasi wake Dodoma wakiwa hawajielewi hakuna atakayemuamini.


So kwa sababu hizo huu ni mwisho wa Lowassa(wether ni ndani au nje ya CCM).
 
Back
Top Bottom