frictional
Member
- Aug 2, 2015
- 20
- 0
Habarini wana JF.
Nina ndoto za kuishi nje ya nchi, lakini kuna vitu vinanikatisha tamaa.
1.nkimaliza degree yangu ya Dr hapa Tanzania, naweza pata ajira nje ya nchi au laah.?
2.ni vigezo gani niwe navyo ili niweze ajiriwa nje ya nchi.?
3.Ni kweli kwamba ukisoma katika chuo kikuu cha international medical and technological university (imtu) naweza pata ajira popote duniani?