Ukubwa wa faili una-matter sana, attachments za email zina limitations. Jiunge na file sharing web ambayo na huyo unayetaka kumtumia ajiunge pia, wewe una-upload yeye ana-download.
Nenda Free File Hosting Made Simple - MediaFire create account halafu upload. Utapewa link ya hilo file. Mpe mtu unayetaka kumtumia hiyo link aifungue halafu atadownload the file.
Pia unaweza kutumia torrent.Hii ni njia rahisi zaidi kwani huingii gharama za kuapload.Ingawaje utatakiwa uwe online muda wote mpaka atakapomaliza kudownload....
Pia unaweza kutumia torrent.Hii ni njia rahisi zaidi kwani huingii gharama za kuapload.Ingawaje utatakiwa uwe online muda wote mpaka atakapomaliza kudownload....
Nifree of charge just download bittorrent..install kisha kuna mahala panaonyesha drug and drop your file...kisha fuata maelekezao ikishamaliza itakupa link..copy na mtumie hata kwa chat facebook..akiifungua basi anavuta mzigo kutoka kwenye computer yako..ila naye lazima ainstall hako kaprogramme