Utapata hapa: Tanzania Tenders Portal:
Gazeti la mwananchi na Daily news ndio kinara wa matangazo ya Tenda.Binafsi ninatafuta chanzo sahihi cha kupata tenda zinazotangazwa magezetini.Website aliyotoa FaizaFoxy hapo post #2 haiko online.Tafadhali naomba msaada wa wapi naweza pata tenda zote zilizotangazwa online.
Ipo Online mkuu hii website cheki vizuriBinafsi ninatafuta chanzo sahihi cha kupata tenda zinazotangazwa magezetini.Website aliyotoa FaizaFoxy hapo post #2 haiko online.Tafadhali naomba msaada wa wapi naweza pata tenda zote zilizotangazwa online.
Nina imani kubwa na uwezo wa ma great thinkers wa Jukwa hili. Jamani nisaidieni ni website au magazeti gani yanayo kusanya na kutangaza open tenders zote za Tanzania.
Ntashukuru sana kwa msaada huu mkubwa.