mkuu mm ninacho,pamoja na mgunguaji aka sniper ....ila natafuta mtuhumiwa....jamaa ni mzuri kwenye riwaya zake..
neo1
Kama uko Dar basi nenda pale Morocco, nyuma ya jengo la Airtel kuna duka lake, utapata kitabu chochote chake kilichokwisha chapishwa!!
Mimi pia navitafuta sana vitabu vya Hussein tuwa, Luna MKIMBIZI, MDUNGUAJI, MFADHILI, na kingine kimenitoka kidogo, mtu akijua vinapopatikana aseme
mkuu mm ninacho,pamoja na mgunguaji aka sniper ....ila natafuta mtuhumiwa....jamaa ni mzuri kwenye riwaya zake..
neo1
tafuta muda me nko dar hapa hapa!!!.ila kama unacho cha mtuhumiwa tubbadilishane maana mm sijakisoma nlihadithiwa tu general story ila bado utam na msisimko nlipata,je nkisoma kitabu kizima si ndo itakuwa sheeeder??Jaka mtuhumiwa, duh ilikuwa ni bonge la story, nakumbuka enzi zile nikajipa aka Mr Suspect. Tuwa yupo njema sana.
Mkuu kama vipi niuzie cha mdunguaji, bado sijakisoma
Daah...utata wa tisa disemba
Jaka mtuhumiwa, duh ilikuwa ni bonge la story, nakumbuka enzi zile nikajipa aka Mr Suspect. Tuwa yupo njema sana.
Mkuu kama vipi niuzie cha mdunguaji, bado sijakisoma