Ntapata wapi kitabu cha mkimbizi?

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Kama kuna mtu anaweza nielekeza kitabu kama hicho bado kinachapishwa na kuuzwa. Kama ndiyo ntakipata wapi kwa dar.
 
una maanisha kitabu cha mkimbizi ndani ya nchi yangu.ambacho mhusika mkuu ni tigger mumbala kama sijakosea?
 
mkuu mm ninacho,pamoja na mgunguaji aka sniper ....ila natafuta mtuhumiwa....jamaa ni mzuri kwenye riwaya zake..
neo1
 
Hussein TUWA MIMI HUWA NAKASIRIKA MARA NINAPOKUWA NIMEMALIZA RIWAYA ZAKE MAANA YUKO LEVEL YA 24!!!!MIMI PIA NATAFUTA NADHANI VINATAKIWA KUCHAPWA TENA
 
Nilikwambia ingia kona ya riwaya reloaded utapata maelekezo yote ya kupata vtabu vyake kwani huwa anapost riwaya zake huko!
 
Mimi pia navitafuta sana vitabu vya Hussein tuwa, Luna MKIMBIZI, MDUNGUAJI, MFADHILI, na kingine kimenitoka kidogo, mtu akijua vinapopatikana aseme
 
Kama uko Dar basi nenda pale Morocco, nyuma ya jengo la Airtel kuna duka lake, utapata kitabu chochote chake kilichokwisha chapishwa!!
 
mkuu mm ninacho,pamoja na mgunguaji aka sniper ....ila natafuta mtuhumiwa....jamaa ni mzuri kwenye riwaya zake..
neo1

Jaka mtuhumiwa, duh ilikuwa ni bonge la story, nakumbuka enzi zile nikajipa aka Mr Suspect. Tuwa yupo njema sana.
Mkuu kama vipi niuzie cha mdunguaji, bado sijakisoma
 
mkuu mm ninacho,pamoja na mgunguaji aka sniper ....ila natafuta mtuhumiwa....jamaa ni mzuri kwenye riwaya zake..
neo1

Mkuu hivi vitabu ni vizuri sana natamani sana kuviludia kusoma
 
Jaka mtuhumiwa, duh ilikuwa ni bonge la story, nakumbuka enzi zile nikajipa aka Mr Suspect. Tuwa yupo njema sana.
Mkuu kama vipi niuzie cha mdunguaji, bado sijakisoma
tafuta muda me nko dar hapa hapa!!!.ila kama unacho cha mtuhumiwa tubbadilishane maana mm sijakisoma nlihadithiwa tu general story ila bado utam na msisimko nlipata,je nkisoma kitabu kizima si ndo itakuwa sheeeder??
 
Jaka mtuhumiwa, duh ilikuwa ni bonge la story, nakumbuka enzi zile nikajipa aka Mr Suspect. Tuwa yupo njema sana.
Mkuu kama vipi niuzie cha mdunguaji, bado sijakisoma

Mi naitamani a.k.a The Bastard ila sasa dah...
Naanzaje???
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom