ntapata kazi jeshini kwa hali hii??

pisces

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
240
61
mambo vp ndugu zangu. mm ni mtanzania nnaevizia nafasi za jeshi kwa maafisa mwaka huu. Mashaka yangu ni kwamba nnatumia miwani kwa miaka miwili sasa kutokana na myopia(kutoona mbali) sasa nna wasiwasi kama naweza kupata nafasi huko jw. Nipeni majibu kwa mnaofahamu.
 
kwani lazima uende jeshi? wewe jiamini tu u can achieve your life dreams, angalia usije kosa then ukadata ukaona ndio mwisho wa maisha
hata wakikuchukua kuna miezi sita ya kwata monduli ukifeli umekwenda na maji
 
Kuna Mshikaji wangu aliingia intake ya mwaka jana alikuwa anatumia miwana na haoni bila miwani hivyo unaweza kupata.
 
uzuri wa jeshini hawatumii macho kuangalia. Wao wanatumia Masaburi kutazamia ndio maana kuna watu kama kina S.h.i.m.b.o
 
mkuu hiyo siyo ishu labda walete kujuana kwani jeshi ni kama nchi hivyo wataalam wa aina mbalimbali wanahitajika then hivyo vikasoro vingine havina shida. Na elimu yako itakubeba.
 
Back
Top Bottom