Ntapata aeronautics?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ntapata aeronautics??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NingaR, May 3, 2012.

 1. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  SAMAHANI KWA USUMBUFU WANA JF JE kwa tokeo la PGM III-13 yaani
  GS-S
  PHY-E
  GEOG-D
  MATH-D
  NB:- O-LEVEL SIKU PIGA PAPER YA CHEMISTRY BUT NILIISOMA KAMA KAWAIDA
  JE NAWEZA PATA AERONAUTICS NA MKOPO, NA UTARATIBU UNAKUWAJE?? KAMA JIBU NI HAPANA NAOMBA USHAULI KAMA NAWEZA KUJOIN COLLEGE OF EARTH SCIENCE PALE UDOM??? NATANGULIZA SHUKRANI NA SAMAHANI KWA USUMBUFU.
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Sijui kama kuna chuo kinachofundisha aeronatics bongo....ila kama utasoma, ni moja ya elimu zenye mahitaji makubwa ya wataalamu duniani. Soouth Africa pengine wanatoa elimu hiyo...vinginevyo jiunge na jeshi ujue moja ingawa sio guaranteed utasomeshwa aeronatics
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Dogo hiyo kozi iko MIT kule USA,asa kwa points zako hzo cjui hata ka unaweza pata scholarship,otherwise ualimu unakuhusu sana tu.
   
Loading...