Computer science kwa hizi grade

Coster1

Member
Jul 19, 2016
48
11
Habari zenu wakuu
Nmeandika hii thread nkiuliza kama naweza Fanya computer science o level nimechukua science
Phy D
Chem D
Math C
Bio D na advance nimesoma HGE
Hist C
Geo C
Eco C
Bam D
Naomba kuuliza je Computer science naweza kubaliwa na no chuo gani
Natanguliza shukuran.
 
huwezi hata kidogo kwanini kama ulitaka kusoma science elimu ya juu kwanini hukusoma science advance nani kakudanganya HGE ni science hivi watz nani katuloga ??? acha tamaa kasomee ualimu
 
Watu bwana jamaa anaona kabisa kuna neno pale "science" alaf anasema anataka kusoma huku ana ki HGE chake udahiliwe na nani hata kwa makosa haiwezekani
Ni ushaur tu afu nimeomba kama hujui usijibu
 
huwezi hata kidogo kwanini kama ulitaka kusoma science elimu ya juu kwanini hukusoma science advance nani kakudanganya HGE ni science hivi watz nani katuloga ??? acha tamaa kasomee ualimu
Kamahuelewi plz bora utuliee sio lazima u jibu nimeuiza na maana yangu
 
Dogo kwani kitabu cha TCU c kina muongozo tafuta ukakisome. Mambo mengine mnataka wenyewe kujibiwa shombo wakati kuna sehemu ya kupata majibu. Au ni uvivu wa kujisomea..
 
Mtu aliyesoma HGE amesoma BAM pia kama ulifaulu BAM na kwa hayo matokeo yako ya O lvl .... apply chuo kama IFM unapata nafasi ya kusoma kwa hyo computer science....Goodlucky
 
Hauko serious ndg. Yaani unataka computer science alafu huwezi kusoma admission guide book mwenyewe? Inabidi ubadilike kimtazamo ili uweze kuendana na CS.
Ila mwaka huu naona entry requirements ni 2 principle passes in Physics and Mathematics(4pts).
 
Back
Top Bottom