Ntamjuaje kama ananipenda kweli

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,373
851
Habari wana JF NINA MCHUMBA WANGU NATARAJIA KUMUOA ILA NATAKA NIJUE KAMA KWELI ANANIPENDA...INGAWA ANAONYESHA KUNIPENDA LAKINI NAHITAJI UHAKIKA NAE.. NAOMBENI USHAURI
 
Elewa swali sio unakurupuka tuu hujui kwanini nimeuliza hivyo na sio lazima unipe ushauri wewe muelewa atanipa ushauri
 
Kujua kama napendwa au cpendwi hyo sio kazi yako toa ushauri kama una njia ya kuweza kujua huyu mtu ana mapenzi ya dhati sio kiherehere
 
ney,swali gumu sana hili,wako mababu zetu ambao hadi wanaingia kaburini hawakuwa na jibu la swali hili,hard to tell,lakini yote kwa yote angalia matendo.
 
ney,swali gumu sana hili,wako mababu zetu ambao hadi wanaingia kaburini hawakuwa na jibu la swali hili,hard to tell,lakini yote kwa yote angalia matendo.

thanx kwa ushauri huo nimependa
 
hivi kuna mapenzi siku hizi?e bwana we sogeza sogeza nae muda baadae ndo utajua km anakupenda au miyayusho,vinginevyo tunakusubiri hapa kama hujaja na tread nyingine ya kutoswa au kusalitiwa
sie tupo hapa on wait
 
Elewa swali sio unakurupuka tuu hujui kwanini nimeuliza hivyo na sio lazima unipe ushauri wewe muelewa atanipa ushauri

nimeelewa. ina maana wewe mpaka mmekaa uchumba mpaka mnataka kuoana bado tu hujajua kua anakupenda? umepost hapa wote ambao tunajisikia tutapost. wewe utachukua utachanganya na zako that is if you can.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna post nyingine unaweza changia acha wa2 wenye busara na waelewa wachangie unaeza kwenda
 
Kama anakupenda atakulinda!!! Mdanganye kwamba umefukuzwa kazi au chuo,kama upo kazini omba likizo ya wiki,halafu kaa home wiki nzima halafu check respond yake hapo,nauhakika akivuka kizingiti hicho bila utofauti basi ujue anakupenda!
 
thanx mzeya let me try
 
mapenzi hayapimiki kwa sababu binadamu ndo anayamiliki and remember kuwa hatuko perfect kwa hiyo angalia usimpime akakosea bahati mbaya ukadhani kuwa hakupendi, so angalia sana unapomjaribu mwenzio.
 
Hadi unakuja hapa kuuliza jibu tayari unalo - HAKUPENDI.Angekupenda wala usingetia shaka.
 
Back
Top Bottom