Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Hadi unakuja hapa kuuliza jibu tayari unalo - HAKUPENDI.Angekupenda wala usingetia shaka.
yeaah, tuna mawazo sawa, ngoja na wewe uje uambiwe umetoka kujisaidia.
Hadi unakuja hapa kuuliza jibu tayari unalo - HAKUPENDI.Angekupenda wala usingetia shaka.
Husninyo ucnifuraishe................
furahi tu mpendwa bila kujali wa pembeni yako wamenuna au wana furaha kama yako. Jioni njema.
Jaribu kumpima kwa kutumia weakness zako anahandle vp then utajua kiasi cha upendo ila chonde unaweza jaribu ndo ukaharibu kabisaaaHabari wana JF NINA MCHUMBA WANGU NATARAJIA KUMUOA ILA NATAKA NIJUE KAMA KWELI ANANIPENDA...INGAWA ANAONYESHA KUNIPENDA LAKINI NAHITAJI UHAKIKA NAE.. NAOMBENI USHAURI
umetoka kujisaidia brother au una makengeza
njo uzoe kinyesi.
Very sory Husninyo najua umekwazika kwa jibu alokupa jamaa, binafsi nakuheshimu na naheshimu mawazo yako dada H.
haaaah haaaah nilikua sijacheka, now nimecheka, thanx mamy
Elewa swali sio unakurupuka tuu hujui kwanini nimeuliza hivyo na sio lazima unipe ushauri wewe muelewa atanipa ushauri
Mfanyie Testing a.k.a experiment...
Acha hizo wewe. Wewe mwenyewe ndiye unayekurupuka. Watu mpaka mmekuwa wachumba lakini bado hajui hata kama anakupenda? Kwa nini ulikubali uchumba kama hujui hata kama anakupenda? Sio kukurupuka huko?