Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,762 10,153 Jun 13, 2016 #2 Hahahaaa watu walishapinda na dunia hii
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,119 24,658 Jun 13, 2016 Thread starter #3 Kingsharon92 said: Hahahaaa watu walishapinda na dunia hii Click to expand... lazima mmoja hapo awe mfano....
Kingsharon92 said: Hahahaaa watu walishapinda na dunia hii Click to expand... lazima mmoja hapo awe mfano....
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Mar 25, 2014 10,348 14,169 Jun 13, 2016 #5 kwa huku tz huyo atakuwa mwalimu tuu
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,119 24,658 Jun 13, 2016 Thread starter #7 badison said: jamaa anachokonoa mzinga wa nyuki Click to expand... Wanasema fuata nyiki ung'atwe utoke manundu...!!!@
badison said: jamaa anachokonoa mzinga wa nyuki Click to expand... Wanasema fuata nyiki ung'atwe utoke manundu...!!!@
Fredinho JF-Expert Member May 18, 2016 971 1,160 Jun 14, 2016 #8 Ha ha ha kama movie ya kihindi,stering mmoja kazungukwa na majambazi mia mbili wenye silaha na anaua wote!
Ha ha ha kama movie ya kihindi,stering mmoja kazungukwa na majambazi mia mbili wenye silaha na anaua wote!
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,193 12,172 Jun 14, 2016 #10 Huyo jamaa atakuwa alishakufa zamani hapo anasubili kuangushwa tu
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,119 24,658 Jun 14, 2016 Thread starter #11 kichomiz said: Huyo jamaa atakuwa alishakufa zamani hapo anasubili kuangushwa tu Click to expand... Hicho kifo chake chafaa kiwekwe kwenye Guiness book of records asee..m
kichomiz said: Huyo jamaa atakuwa alishakufa zamani hapo anasubili kuangushwa tu Click to expand... Hicho kifo chake chafaa kiwekwe kwenye Guiness book of records asee..m
1 1954 JF-Expert Member Nov 14, 2006 11,222 13,665 Jun 14, 2016 #12 Freyzem said: Click to expand... Fool's courage