salosalo
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 598
- 281
Nataka kwenda chuo cha mipango Dodoma nikitokea Arusha kwa magari ya abilia.
Je kama nikiondoka huku Arusha tar 12 ntaweza kuwahi usaili bila kulazimisha ?
- Nitatakiwa nishukie kituo gani?
- Baada ya kushuka kuna umbali gani mpaka hapo chuoni ?
- kama safari itaenda vizuri, je ntafika mida gani kama nikiondoka Arusha saa 12 asubuhi?
- Je nitapata gari ya abiria ya kuelekea chuoni?
- Vipi kuhusu maeneo chuo kilipo, ntapata nyumba za kulala wageni?
Je kama nikiondoka huku Arusha tar 12 ntaweza kuwahi usaili bila kulazimisha ?