Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Jamani Kama kichwa kilivyo jieleza hapo je Kuna uwezekana wa mtu mwenye NTA 4 kufundisha chuo Cha Veta au kufungua
namaanisha level za chini Kama Veta ambayo ina NTA level 1 hadi NTA level 3swali lako lipo too ambigous,
NTA 4 kwa namna nyingine huyo ni basic certificate, sitegemei awe na uwezo wa kufundisha basic certificate wenzake au ngazi za juu kadri ya miongozo so kwa haraka haraka Haiwezekani unless anafundisha short course za level za chini yake
Na kuhusu kufungua chuo cha ufundi inawezekana yeye ni kama mmiliki mwenye capital ambapo kwenye kufungua ni mtu yoyote cha msingi vigezo na mashart ya kufungua chuo zimefatwa!
hata ww unaruhusiwa si swala la capital tu ndugu, vigezo vingine vitabak constant vifatweKama ni kufungua anaruhusiwa
okeynamaanisha level za chini Kama Veta ambayo ina NTA level 1 hadi NTA level 3
Chukua mawazo yangu usimsikilize yeyoteJamani Kama kichwa kilivyo jieleza hapo je Kuna uwezekana wa mtu mwenye NTA 4 kufundisha chuo Cha Veta au kufungua
Sawa, Mkuu!hata ww unaruhusiwa si swala la capital tu ndugu, vigezo vingine vitabak constant vifatwe
Ela yako tu na connectionJamani Kama kichwa kilivyo jieleza hapo je Kuna uwezekana wa mtu mwenye NTA 4 kufundisha chuo Cha Veta au kufungua
Thread ClosedChukua mawazo yangu usimsikilize yeyote
Mtu yeyote anaweza kufungua vocational college hata kama hujasoma, ili mradi una meet vigezo wanavyovitaka veta kwa maana ya majengo, equipment na tools zote na mwisho human resources. Nasema hivi sababu ww sio utakayefundisha hivo kuwa na watu wenye cv zilizosimama wakija kwenye ukaguzi wazikute