WAO WANAWAKOPESHA Matajiri wasiojua kurudisha wanategemea nini?tena hovyo hovyo tu wacha wafilisike ilmradi watu wachii wapate hela zao za hifadhi,MAGAMBA YAKISHAINGIA MAHALI NDIO FINAL REPORT HIZO SIKU ZOTE.ALAFU WATAWABANA WATU WENGINE WACHINI NAKUWAACHA WADENI WAO WAKUBWA.Wanajamvi heshima mbele,
NSSF imeanza zoezi la kuwabembeleza/kulazimisha wateja wake wakubwa [waajiri] kutoa mchango yao ya kila mwezi kabla ya wakati.Ni kawaida waajiri kupeleka michango ya kila mwezi mmoja nyuma[mfano mshahara wa mwezi tano michango yake inatakiwa ipelekwe mwezi sita],sasa NSSF inawataka waajiri wakubwa [waajiri wenye idadi kubwa ya wafanyakazi] kupeleka michango ya wafanyakazi mwezi mmoja mbele au mwezi huu wa sita ili kukabiliana na hali mbaya ya fedha inayoliandama shirika hilo la wafanyakazi nchini.
Taarifa toka chanzo cha uhakika ndani ya shirika hilo zinadai serekali imechota fedha toka NSSF kwaajili ya kugharamia mishahara ya watumishi wake baada ya chanzo chake muhimu cha mapato TRA kushindwa kupata fedha za kutosha kulipa mishahara ya watumishi wa serekali pamoja na shughuli nyingine muhimu.
Zipo taarifa za uhakika serekali ina mkakati wa kuwalazimisha wanachama wote wa NSSF na mashirika mengine ya hifadhi ya jamii kutokulipwa mafao yao hadi wafikishe umri wa kustaafu.Mkakati utasaidia kukabilia na upungufu mkubwa wa fedha unaotarajiwa kutokea kwakuwa fedha zinazochotwa na serekali hazitarajiwi kurejeshwa.
Source:Ngongo@Arusha.
Sijui niache kazi kabla hakijanuka maana mwaka huu ni wa mwisho nijiajiri sasa nikisubiri si itakula kwangu.....
Yeah-wamepita hata hapa kazini kwetu,...nikawauliza kwamba inakuwa vip watu wasubiri mpaka kustaafu(60 yrs),..wakati life expectancy ya mtanzani inagomba,...wakajiumauma.....then wakasema eti ni mpango wa serikali ili watu wake wasipate shida wanapositaafu.....eti hata ulaya wanafanya hivyo.Mkuu Froida,
Mkuu wangu hili zoezi lilianza wiki ilipita hapa Arusha maafisa NSSF wamezunguka kampuni zote zenye wafanyakazi zaidi ya 20 na kuendelea.Bahati nzuri maafisa wa NSSF walipokuja ofisini kwangu nilipata wasaa wa kuhojiana nao na wakanieleza ni zoezi la Tanzania nzima ingawa linafanywa kwa siri na kwa uangalifu mkubwa.
Fedha za NSSF ni kama shamba la Bibi hakuna uwazi wa kutosha,hakuna uangalizi wa kutosha,hakuna uadilifu.NSSF ni sehemu ambayo wanasiasa wanachota fedha hovyo kwa faida za kisiasa[miradi ya kisiasa eg daraja la kigamboni & UDom].Wafanyakazi [wadau au ukipenda wanahisa wakuu] hawana mwakilishi halisi ndani ya bodi ya shirika wajumbe wote wa bodi ni wateule wa waziri wa kazi na mwenyekiti ni mteule wa Rais.
Hakika tungewapata wanasiasa aina ya Mch Mtikila au wanasheria mahiri ningefungua kesi mahakama kuu kupinga fedha zangu kuchukuliwa kwa nguvu na kutokuwa na msimamizi mwenye uakilishi wa wafanyakazi.
Shemeji mbona unanitisha hiyo NSSF naitegemea eti baada ya kuacha kazi karibuni sasa kama ni kimbembe kuipata unanifanya nichanganyikiwe na nizidi kuichukia zaidi serikali ya CCM....hivi chama cha wafanyakazi kiko wapi au wamesha katiwa chao..............
Yeah-wamepita hata hapa kazini kwetu,...nikawauliza kwamba inakuwa vip watu wasubiri mpaka kustaafu(60 yrs),..wakati life expectancy ya mtanzani inagomba,...wakajiumauma.....then wakasema eti ni mpango wa serikali ili watu wake wasipate shida wanapositaafu.....eti hata ulaya wanafanya hivyo.
Pooor nssf
Udini unawapeleka Shimoni Nssf.
Mkuu Froida,
Mkuu wangu hili zoezi lilianza wiki ilipita hapa Arusha maafisa NSSF wamezunguka kampuni zote zenye wafanyakazi zaidi ya 20 na kuendelea.Bahati nzuri maafisa wa NSSF walipokuja ofisini kwangu nilipata wasaa wa kuhojiana nao na wakanieleza ni zoezi la Tanzania nzima ingawa linafanywa kwa siri na kwa uangalifu mkubwa.
Fedha za NSSF ni kama shamba la Bibi hakuna uwazi wa kutosha,hakuna uangalizi wa kutosha,hakuna uadilifu.NSSF ni sehemu ambayo wanasiasa wanachota fedha hovyo kwa faida za kisiasa[miradi ya kisiasa eg daraja la kigamboni & UDom].Wafanyakazi [wadau au ukipenda wanahisa wakuu] hawana mwakilishi halisi ndani ya bodi ya shirika wajumbe wote wa bodi ni wateule wa waziri wa kazi na mwenyekiti ni mteule wa Rais.
Hakika tungewapata wanasiasa aina ya Mch Mtikila au wanasheria mahiri ningefungua kesi mahakama kuu kupinga fedha zangu kuchukuliwa kwa nguvu na kutokuwa na msimamizi mwenye uakilishi wa wafanyakazi.
Kwa hiyo ni confirmed kwamba kama hujafikisha miaka ya kustafu hakuna mkwanja....Yeah-wamepita hata hapa kazini kwetu,...nikawauliza kwamba inakuwa vip watu wasubiri mpaka kustaafu(60 yrs),..wakati life expectancy ya mtanzani inagomba,...wakajiumauma.....then wakasema eti ni mpango wa serikali ili watu wake wasipate shida wanapositaafu.....eti hata ulaya wanafanya hivyo.
Pooor nssf
kwa hiyo ni confirmed kwamba kama hujafikisha miaka ya kustafu hakuna mkwanja....
Mkuu Masuke kama sheria itabadilishwa maana yake itabidi usubiri hadi utakapofikisha miaka sitini.Hapo hapo lazima utie akili wastani wa umri wa mtanzania ni chini ya hiyo miaka sitini ?.Jiulize serekali ina mpango gani na wafanyakazi wa nchi hii.
sio confirmed mkuu,..wanasema serikali inafikiria kupeleka muswada bungeni nafikiri juu ya hili.
Ngongo ukitoa chuki yako binafsi na Lema michango yako mingine naipa uzito mkubwa sana nikiamini katika uchangiaji wako ambao unakuwaaga na mashiko.
Lakini pamoja na hayo, nakukatalia kuwa serikali ina mpango wa kubadilisha sheria hiyo kwa kisingizio cha kukosa kuwalipa wastaafu ambao wanastaafu kabla ya miaka ya sitini.
Naamini kweli serikali yetu ipo ICU kimapato na hilo la kuchota pesa NSSF linawezekana lakini si la kufikia kumdhulumu mtu alistaafu kazi chini ya miaka 60 eti mpaka afike hapo!!!!!!
dawa yao ni maandamano na migomo mpaka kieleweke !
Wanajamvi heshima mbele,