A
Waliwahi kunipa depration haloo andaansaikolojia yako vizuriHili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani.
Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya dakika 30, hii inakera sana
Zile attachment ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria?Ebwana pole sana lakini kwa sasa wameboresha huduma ukishafungua madai yako online jambo linasogea fasta
Termination letter na certificate of clearance lazima ziwe na mhuri wa muajiriZile attachment ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria?
Samahani..Termination letter na certificate of clearance lazima ziwe na mhuri wa muajiri
Bank statement lazima iwe na mhuri wa bank
Hapana haziwi certified na mwanasheria.Samahani..
Copy za NSSF ID card na Certificate of service inapaswa kuwa certified na mwanasheria?
Ahsante MkuuHapana haziwi certified na mwanasheria.
Ila certificate of service inatakiwa kuwa na mhuri wa muajiri.
KIAPO TU, BENK WANASIGN WENYEWE. MAJINA KAMA YANA TOFAUTI LAZIMA UWE NA DEED POLLZile attachment ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria?
MAJINA yakiwa yanafanana hakuna haha ya kugonga muhuri wa mwanasheria kwenye certificate of service na copy ya NSSF ID?!KIAPO TU, BENK WANASIGN WENYEWE. MAJINA KAMA YANA TOFAUTI LAZIMA UWE NA DEED POLL
Haina haja, certificate of service iwe na majina na vyeo vya maboss wote na saini zao na wagonge muhuri. Unaweza kuachana na certificate of service ukapeleka mkataba uliomalizaMAJINA yakiwa yanafanana hakuna haha ya kugonga muhuri wa mwanasheria kwenye certificate of service na copy ya NSSF ID?!
Sheria zilianzishwa na JPMHili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani.
Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya dakika 30, hii inakera sana
Shukrani sana mkuuHaina haja, certificate of service iwe na majina na vyeo vya maboss wote na saini zao na wagonge muhuri. Unaweza kuachana na certificate of service ukapeleka mkataba uliomaliza
Ni hatari sanaNaitaji connection ya kutoa mzigo wang Nssf kuna 10% ya maokoto yangu
Mhhh...ulilipwa mafao yako yote au ulilipwa fao la kutokuwa na ajira? Halafu hili fao la kutokuwa na ajira wanatumia basic salary au ile take home?Nssf wamenyooka kwakweli
Me nilifanyaga kazi na UNDP mkataba ulivoisha nikapeleka kila kitu nssf nikalipwa within 3 weeks