arallegoyee
New Member
- Dec 7, 2014
- 4
- 0
Hhahahahaha uko sahihi asilimia 100% Mkuu, kama siyo wa ule upande wa pili wala usisumbuke hata kuja interview.....
wewe aidha umetumwa na chiku au ni chiku mwenyewe mbona povu linakutoka?aliyekwambia kazi ni gpa nani?uislamu nssf hauhitaji darubini kuuona ni kitu kiko wazi kabisa.
Umeongea kaka lakn mkuu cjaelewa kitu kimoja hapo hizo intrvw mlizoitwa mlituma maomb lin coz 1 december walitangaza nafac za kaz nilappy ko cjajua ka ni hizo walzowalizo tangaza mwanzo mwa mwe huu.nijuze bro
sijapata email maskin mm mtoto wa msukuma tololi siku nikipata kazi nitakuja kutoa ushuhuda
Big show povu la nini mbona nasikia na ni kafiri.tuwekee data inayoonesha percentage ya waislam na wakristo nssf tuone nani ni weengi
na tusiishie hapo tuh,
twende na mashirika mengine vile vile kama pspf,lapf,nhif na goverment agencies tuone
mna chuki sana makafiri,na mlidhani taifa hili wenye haki ya kukaa huko maofisini ni nyinyi pekee tuh
enzi hizi sio za yule godfather wenu nyerere
af huko maofisin mnakolilia mnafanya kipi cha maana zaid zaid ya wizi tuh??
Kama huna sigida hilo halikuhusu a majina ya akina Peter,George na mabinti wasiovaa hijabu fanyeni mengine tu ya muhimu.
Mweee....sie kina Magdalena hatuchukuliwi??? Nitabadili niitwe Aisha kwa kweli
Hii taarifa imenikatishaje tamaa kila mtu anazungumzia hili najiuliza connection hizo na hawa watu zipoje mbona watatumaliza
Usikatishwe tamaa mpendwa....kwani hakuna mkristo hata mmoja??? Kila binadamu na rizki yake atii
Wakristo tupo mbona sema hii kitu inachanganya
Hii taarifa imenikatishaje tamaa kila mtu anazungumzia hili najiuliza connection hizo na hawa watu zipoje mbona watatumaliza
Wewe manka nenda TRA na CRDB ndo uko mpo nyie
Usikate tamaa MankaM we nenda ujaribu bahati yako pengine unaweza kuwa kati ya wale wa kubalansishia