NSSF wameita for interview

Dumejike vgezo ninavyo! leo nimepata sms yao ila bado sijapata email, naomba kujuzwa e-mail inasemaje na tunapaswa kuprint na kwenda nazo kama za TRA!?
 
Jamani naombeni mnijuze muda,mimi nimetumiwa sms tu ambayo haijataja muda.Email sijatumiwa.Plz....
 
Acha upumbavu na kupotosha umma ww.. Utawekaje sehemu ya ibada ofisi ya umma?? Je tukiweka sehem za kuabudia din zote ofisi yote si itakuwa nyumba ya ibada

tuache kutetea upuuz

misa za wakristo kwa taarifa yako zinaenda kwa mda... Kila unaposikia kengele ujue ni mda wa kusali...... Kwa kawaida ni asubuhi. Mchana na jioni..... Kila siku
 
Jaman mwenye e mail ya NSSF iliyowatumia mwaliko wa interview naomba anitumie maana mimi nimetumiwa sms kwa namba kama ya simu ya landline kunialika kwenye interview IFM Tareh 13 but for more information wameniambia nicheck kwenye e mail yangu.Nimecheck kwenye e mail both inbox na kwenye spam hamna kitu naomba mnipatie email yao jaman nijaribu kuwaulizia.
 
Naona umeamua kuvichafua vyuo sasa.. Ila uajiriwe ww wa muslim college.. Mnaopeana GPA fake
 
Jamani mbona email hiyo hainifikii mimi,ama kwakua sio upande ule mwingine wa dini!!?Mbona za TRA zimeingia bila shida!

Kama umeomba operation officer fika tar 13 IFM Kuanzia saa sita kamili uje na kitambulisho chako.sasa unatakiwa usome email.ili upate serial number ambayo ndo namba yako ya mtihani.
chunguza email yako katia spamer .
 
hio si prove rudi tena shule na sijui ilikuje wakakuajiri kilaza kama wewe
 
nyinyi kazi fitna tu mkiambiwa mulete ushahidi mnakimbia tumewashtukia mnataka washtushe na tuhuma wabadili muelekeo wachague wakristo watupu hapa mwenye sifa tu na mpaka uadilifu sifa.
 
Kama umeomba operation officer fika tar 13 IFM Kuanzia saa sita kamili uje na kitambulisho chako.sasa unatakiwa usome email.ili upate serial number ambayo ndo namba yako ya mtihani.
chunguza email yako katia spamer .
Mkuu nimechek kwenye spam hakuna kitu, ila sms nimeipata tatizo ni hiyo serial number kuipata shida!
 
Wakristu na waislamu tumeishi kwa amani kwa muda mrefu,mambo ya kupita yasifanye tugeukane,nasikitika sana kuona matusi na udini,kila mtu aheshimu dini ya mwenzake,dini zenyewe tumeletewa tu ibada zetu wote zilikua matambiko chini ya mibuyu,kukosa kazi nssf sio mwisho wa dunia,tuache kulumbana kwa mambo yasio na tija.
 
Kama huioni email kwenye inbox, angalia kwenye spam, me yangu nimeikuta huko.
 
Dumejike vgezo ninavyo! leo nimepata sms yao ila bado sijapata email, naomba kujuzwa e-mail inasemaje na tunapaswa kuprint na kwenda nazo kama za TRA!?

Ni vizuri tuliopata sms bila email tufahamiane ili siku hiyo tujue tunafanyaje!
 
namshukuru mungu kwl nimwaminifu tra cjaitwa ila hku nimeitwa tujuzane bac maswali watakayo uliza tujiandae na interview kuliko kulumbana kuhusu dini wadau.
 
check e-mail zenu wameita written interview nafasi za operations officers

Website wanayo, kwa nn wasiweke majina hapo waziwazi, waliofanikiwa wajione na waliokosa wajijue. Kwa nn wanafanya kwa usitsiti? Kuna jambo hapa si bure!
 
Website wanayo, kwa nn wasiweke majina hapo waziwazi, waliofanikiwa wajione na waliokosa wajijue. Kwa nn wanafanya kwa usitsiti? Kuna jambo hapa si bure!

Hakika hata mimi nina wasiwasi.. Kaz unatangaza kwa magazet majina unatuma kwa siri... TRA wao unaomba online hivyo haikuwa na tatizo kutuma kwa email.. Lakn nssf kwa kweli huu ni uharamia
 
Website wanayo, kwa nn wasiweke majina hapo waziwazi, waliofanikiwa wajione na waliokosa wajijue. Kwa nn wanafanya kwa usitsiti? Kuna jambo hapa si bure!

waweke hadharani muone majina ya vigogo mfuatilie kama uhamiaji...hiyo ndo technique mpya..hamuwapati tena
 
mbona hatujaona email zaidi ya txt

Issue tusiopata email shida ni muda wa kuhudhuria interview, coz wengne wameambiwa wanafanya saa 8:30AM na wengne ni 12:00PM,halafu sms inasema interview ni 13th-14th Dec,sasa sisi tunaenda lini!! Ni sheeda!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…