NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

Ukiicha ufisadi wa pesa bado kuna Udini wa khali ya juu. Mkurugenzi aliyeondolewa alikumbatia udini sana na ilikuwa hatari kwa umoja wa kitaifa.
 
je hizi hela wanakula kabila zima??? Kwa mwendo huu uzalendo uliokua unaanza kuchipuka utakauka miongoni mwa Watanzania walio wengi. Inauma!!!
 
mwalimu wako wa darasa la kwanza lazima alikuwa mzungu,kama sio basi ukisoma PHD utafundshwa na mzungu,una akili sanah
 
yaani ukichanganya na NHC basi ni sumu tosha unakunywa kutwa mara 3 jioni tunzazika,alfajiri asubuhi tanga ndugu
 
WANASHINDWA KUWAPA MIKOPO WANACHAMA WA SACCOS WALIOJIUNGA NSSF, NA WAKAAHIDIWA MIKOPO WANANCHI WALALA HOI. MAFAILI WAMEYALUNDIKA TU OFISIN KWA KUWAAHIDI WATAPEWA MIKOPO KUMBE PESA WANAZIPIGA KUPITIA MIRADI YA KIFISAD. TENDENI KAZI KUSAIDIA KUINUA MAISHA YA WATZ NA SI KUJINUFAISHA NYINYI.
muda mwingne nasemaga haya mambo wayamalize hukohuko juu huku chini tunapata tabu tu,maisha magumu alafu mtu ekari ananunua sh bilioni 8 kama sio kufuru ni nn
 
Tanzania viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia rasilimalI za nchi ndio wana matatizo. Watu wanatafuna pesa kama mchwa
yaani kwa stahiri hiyohata ukoo wangu hautopata shidakabisa maana tutakuwa na fedha za kulisha adi wajukuu na vitukuu
 
wengne akina sisi tunasoma kwa tabu ndugu zeetu wanasoma kwa tabu ukiuliza unaambiwa ili upate mkopo lazima uwe umefiwa na wazazi wako!!!!alafu mtu ekari bilioni ananunua
 
Hii nchi watu hawatakoma kuiba, hadi serikali itakapochukua hatua kali kimatendo sio maneno, toka enzi za mkapa na kikwete watu wanapiga wana download,kila kukicha wana download tu, serikali zimekuwa na busy kuunda tume tume mara bila kikomo, watu wanafikishwa mahakamani baada ya week mbili wamepewa dhamana wanakuja mitaani, wanaanza kutumia pesa walizoiba kuendesha kesi, kesi inakwenda unasikia nyweeee hakuna linaloendelea, au wanafungwa vifungo vya nje kufagia , is incompetence middle name of our leader's ? , kwanini tusitoe hukumu kali tukakomesha ufisadi once and for all?.
 
Ange Quote vipande vya Wakorintho na wakolosai Usinge yaandika haya.

Hii ndio dasturi wa makatonta.
Mchungaji akipiga mimba Kondoo mnasema alimwagia maji ya Uzima wa milele ktk Ibada. Lkn Bakari akioa binti wa miaka 30 chini yake mnasema GAIDI MBAKAJI.

Yaani ukatonta ni laana ya ajabu sana.
Braza kahtaan upo.?!.dah kitambo sana "sijakutia machoni". Wasalimie huko ughaibuni.
 
Masikini Tanzania yangu!!
Mi nadhani magereza ziongezwe wataenda wengi sana huko, huu ni mwanzo tu, bado NHC na kule nanihiii.
 
hii taarifa ni upuuzi mtupu, chanzo cha taarifa wala siyo ripoti za kikaguzi, ni hearsay tu ya kauli ya mtu isiyothibitishwa, ni ujinga
 
JPM fanya kazi ya uraisi kwa kufuata sheria na kanuni za nchi.Ukiwa kama binaadamu makosa waliyoyatenda wenzako yanaonyesha hata wewe sio msafi kwa asilimia 100.Ukishaelewa hayo utaongoza nchi hii vizuri sana na utapendwa na hata FARU kule serengeti lakini ukiongoza nchi hii kwa ushabiki mwisho utajikuta umejipaka mavi.Kuna watanzania hawakutakii mema wanakuchochea uvimbe ufanye ushabiki hawa ndio wale watakaokuja kukucheka baadae.
Mada nyingine za JF ni za kukuchochea mwalimu wangu nakueleza kuwa mwangalifu na vizabinazabina.Fikia wakati ufuate mtiririko wa organogram nikiwa na maana wape power mawaziri,wakurugenzi ,RC,DC nk watende yake ambayo ni ya manufaa ya nchi..usifanye kazi wewe pekee yako utachoka mwalimu.
 
Back
Top Bottom