NSSF na PPF Buildings Old Moshi road, hakuna wapangaji

NSSF na PPF Buildings Old Moshi road, hakuna wapangaji

Great, Now I can see positive mind people evaluating NSSF and PPF investment on buildings

10% is big mindset problem, to live like heaven at cost of low income poor workers

Wafanyakazi ambao ni members hawawezi hata kupata mkopo ajenge makazi bora, kungoja ustaafu wakati pesa umeweka PPF halafu investment zenyewe hazina faida kwa mwanachama
 
Ina maana hawakufanya Upembuzi yakinifu kabla? wizi wizi.
 
hao NSSF , PPF na PSPF sijui wakazi wa Mbeya wamewakosea nini! yaani sijaona jengo lolote la maana walilojenga hapo Mbeya angalau NHIF ndo wanajenga kitega uchumi. Kutwa wanakimbizana na kaskazini tu.
 
Rais Magufuli ndo Kiongozi wa Kweli aliyeona matatizo ya haya mamifuko PPF na NSSF. Raisi akawaambia wekezeni kwenye productive issues kama Viwanda....Watanzania watapata ajira na wanachama watafaidi profit returns

Mfano, viwanda vya Viatu, Nguo Textile vina wateja direct

Sugar cane plantation na Sukari vina walaji

Hata toothpick basi

Pamba za masikio nazo jamani

Hongera Raisi kwa kuwapa Ukweli
 
Rais JPM aliwapa ushauri maridhawa kabisa kule Arusha.Ni ushauri bora kweli kweli na wenye kutoa tija kubwa kubwa kwa waliowengi kama utafanyiwa kazi.Sijui wataalamu wetu wa NSSF na PPF kama walimuelewa.
 
Rais Magufuli ndo Kiongozi wa Kweli aliyeona matatizo ya haya mamifuko PPF na NSSF. Raisi akawaambia wekezeni kwenye productive issues kama Viwanda....Watanzania watapata ajira na wanachama watafaidi profit returns

Mfano, viwanda vya Viatu, Nguo Textile vina wateja direct

Sugar cane plantation na Sukari vina walaji

Hata toothpick basi

Pamba za masikio nazo jamani

Hongera Raisi kwa kuwapa Ukweli
Kabisa mkuu.... Umegonga point chukua like
 
Majengo hata mwaka hayajamaliza unataka yajae kwa 100%!? Acha kukurupuka.

Kawaida jengo likifika miezi sita linatakiwa angalau liwe na wapangaji kwa asilimia 40% ya jengo.....Sasa hayo ya NSSF na PPF ndio kwanza yamezinduliwa na mhe rais juzi tu.
 
Wenyewe wanasema ni long term investment.
Cost Miradi yao ni kubwa kuliko value ya kitu wanachofanya. Wenye dhamana ya kutengeneza hii miradi hawatakuwepo hapo baaday mambo yatapoharibia. Hizi pension fund zikifail, mzigo wa kulipa wastaafu utabaki kuwa kwetu sisi kama serikali. Tutaona muda wa kustaafu unaongezeka na kodi inaongeza ili kuzipa pengo la bad investment walizofanya hawa NSSF na wengine. Tuwakomalie waweke short time investment too ili watu waone matoke yake sasa hivi.
 
White Elephant projects NSSF na PPF buildings country wide.

Majengo yamejengwa kwa pesa ndefu ya Watanzania, hakuna wapangaji. almost 3/4 does is not occupied.

Je wafanyakazi wenye pesa zao wanalipwa riba kadri pesa inavyokaa? Benki riba ni 18 to 25%

Je faida ya hiyo miradi ni nini, kwa wafanyakazi wenye amana zao?

NSSF ni waongo sana kuhusu mikopo kwa wanachama wake

Kutegemea SACCOS ni namna ya kupiga chenga kutoa mikopo

NSSF wanajenga miradi yenye 10% kwa viongozi

NSSF na PPF ni Majipu

NSSF and PPF, listen to Members please....Open your ears and mind
Nakuunga mkono mpwa kama NSSF Moshi ni hasara hasara hasara juu ya hasara,na huko ndiko NHC inakokuja,akina Mchechu na Kibonde kazi yao kusifia tu hiyo mijengo na''miji ya kisasa'' lakini mwisho wake yatakuwa makazi ya popo na ndio maana Lukuvi kuwapiga stop naona humo ndio kuna 10% za nguvu na utajirisho wa haraka kutokakwa kandarasi za ujenzi wa hayo majengo
 
Wenyewe wanasema ni long term investment.
aisee. naonaga makampuni ya mafuta bei ikishuka kidogo tu wanaacha kuwekeza kwenye uchimba na huko kunasense sana ya kufanya long term investments. haya mashirika sababu pesa inaingia daily hayaoni umuhimu wa kujiendesha kibiashara. yapo kama ponzi scheme.
 
Majengo hata mwaka hayajamaliza unataka yajae kwa 100%!? Acha kukurupuka.

Kawaida jengo likifika miezi sita linatakiwa angalau liwe na wapangaji kwa asilimia 40% ya jengo.....Sasa hayo ya NSSF na PPF ndio kwanza yamezinduliwa na mhe rais juzi tu.

Kwa lile la moshi mmelamba garashi moshi pagumu sana labda kama lengekuwa arusha au dar , na tatizo lenu ni hizo rent fee zinazowalazimisha wapangangaji kuuza bidhaa zao kwa bei ya juu ili kuendana na hiyo kodi mliyopiga mfano bia ya elfu 2500, sasa yeye inabidi auze 3500 ,ili apate walau faida sasa kwa moshi watu walivyowabakhili sio rahisi sana kupata wateja
 
Nakuunga mkono mpwa kama NSSF Moshi ni hasara hasara hasara juu ya hasara,na huko ndiko NHC inakokuja,akina Mchechu na Kibonde kazi yao kusifia tu hiyo mijengo na''miji ya kisasa'' lakini mwisho wake yatakuwa makazi ya popo na ndio maana Lukuvi kuwapiga stop naona humo ndio kuna 10% za nguvu na utajirisho wa haraka kutokakwa kandarasi za ujenzi wa hayo majengo

Kama wangekuwa fair enough ungekuta jengo kama uchumi moshi limechangamka vibaya na biashara inafanyika lakini ukienda pale unakuta pamepoa maana yake watu wanapiga mahesabu ya kodi na biashara atakayo iendesha pale ,anajikuta amna kitu ,mfano sahani moja ya chakula wanauza 5000/= sahani hiyo hiyo mtu anaipata kwa sh 2000 kwa pembeni mwa hilo jengo ,
 
JPM aliwambia badala ya kujenga majengo ambayo hayana faida wajenge viwanja vya kuzalisha bidhaa ambapo watajiongezea wanachama kwa kuajiri na pia watafanya biashara kubwa,,
 
White Elephant projects NSSF na PPF buildings country wide.

Majengo yamejengwa kwa pesa ndefu ya Watanzania, hakuna wapangaji. almost 3/4 does is not occupied.

Je wafanyakazi wenye pesa zao wanalipwa riba kadri pesa inavyokaa? Benki riba ni 18 to 25%

Je faida ya hiyo miradi ni nini, kwa wafanyakazi wenye amana zao?

NSSF ni waongo sana kuhusu mikopo kwa wanachama wake

Kutegemea SACCOS ni namna ya kupiga chenga kutoa mikopo

NSSF wanajenga miradi yenye 10% kwa viongozi

NSSF na PPF ni Majipu

NSSF and PPF, listen to Members please....Open your ears and mind

President JPM was right when he told them to invest in industrial production. It is even better to invest in low cost residential housing estates for their members and the general public.
 
Back
Top Bottom