NSSF na PPF Buildings Old Moshi road, hakuna wapangaji

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
White Elephant projects NSSF na PPF buildings country wide.

Majengo yamejengwa kwa pesa ndefu ya Watanzania, hakuna wapangaji. almost 3/4 does is not occupied.

Je wafanyakazi wenye pesa zao wanalipwa riba kadri pesa inavyokaa? Benki riba ni 18 to 25%

Je faida ya hiyo miradi ni nini, kwa wafanyakazi wenye amana zao?

NSSF ni waongo sana kuhusu mikopo kwa wanachama wake

Kutegemea SACCOS ni namna ya kupiga chenga kutoa mikopo

NSSF wanajenga miradi yenye 10% kwa viongozi

NSSF na PPF ni Majipu

NSSF and PPF, listen to Members please....Open your ears and mind
 
Itabidi tutume vyombo vya dola ikiwamo takukuru wakakague hayo majengo,kama yako wazi wananchi wapewe vyumba vya kulala bure......haiwezekani tuna uhaba wa Nyumba nchini halafu wao wamezificha
 
Magorofa ya mabilioni hayana wapangaji. Hivi hawa jamaa huwa hawa somi Soko la majumba likoje. Wananiboa sana
 
Asanteni kwa maoni, wapo watu watakaoelewa. Kwa hiyo wengine msioelewa, subirini maoni ya watu watakaoelewa
 
White Elephant projects NSSF na PPF buildings country wide.

Majengo yamejengwa kwa pesa ndefu ya Watanzania, hakuna wapangaji. almost 3/4 does is not occupied.

Je wafanyakazi wenye pesa zao wanalipwa riba kadri pesa inavyokaa? Benki riba ni 18 to 25%

Je faida ya hiyo miradi ni nini, kwa wafanyakazi wenye amana zao?

NSSF ni waongo sana kuhusu mikopo kwa wanachama wake

Kutegemea SACCOS ni namna ya kupiga chenga kutoa mikopo

NSSF wanajenga miradi yenye 10% kwa viongozi

NSSF na PPF ni Majipu

NSSF and PPF, listen to Members please....Open your ears and mind

Waha madubwana hayaangali nani atapanga Bali yeye atapata percent ngapi
 
Ni poor mind tu za kifisiem ndio znaweza enda wekeza majengo makubwa ya kibiashara kwenye miji yenye ukuaji hafifu na groomy future kama moshi..unaacha miji strategic,potential na yenye promising future kama mwanza,arusha,mbeya,kigoma,mtwara,dodoma na tanga wanahangaika na moshi
 
Ni poor mind tu za kifisiem ndio znaweza enda wekeza majengo makubwa ya kibiashara kwenye miji yenye ukuaji hafifu na groomy future kama moshi..unaacha miji strategic,potential na yenye promising future kama mwanza,arusha,mbeya,kigoma,mtwara,dodoma na tanga wanahangaika na moshi inayojifia
 
Umeelewa swali au umelewa kwa swali?
 
Sijui ni nani aliwaambia maendeleo ni maghorofa aghali yaliyo na wapangaji
Wewe nawe kulikoni, hapa umeteleza sasa mkuu, sasa wakikosa wapangaji hiyo hela ya uwekezaji katika majengo mashirika waligharamia kuwekeza itarudije na kuzungusha faida? Kabla hujajibu kitu take time and relax acha kukurupuka

Tuache masihara hapa kuna hoja,
Mifuko hii imeteleza kwa hili na sijuwi kama wameliona hili ,

Mfano mzuri ni lile jengo kubwa na bora pale kilimanjaro lilo jengwa na NSSF kwa gharama kubwa kabisa pitia michango ya wanachama,

Pale kwenye lile jengo wateja walio pangisha ni wachache sanaaaa na wanahesabika na ni kwasababu ya RENT FEE inayo tozwa kwa kweli ni kubwa na people are fail to afford kukodisha frame ya biashara, sasa sijuwi kwanini ghorofa ni kubwaaaa halafu linakuwa tupu na kwa kipindi kirefu sana, pale wangekusanya pesa nyingi sana ambazo zinge zidi kutunisha mfuko wa shirika ila kwa kuwa hawaoni hilo basi wanakosa vipato vingi pale, angalau wange SET STANDARD FEES ambapo wangepata wateja wengi ambao wanaweza afford
 
Takukuru hapo wanaingiaje? Au Ulitaka kusema CAG? Labda hapo maana Takukuru sioni kama anahusika hapo!
Itabidi tutume vyombo vya dola ikiwamo takukuru wakakague hayo majengo,kama yako wazi wananchi wapewe vyumba vya kulala bure......haiwezekani tuna uhaba wa Nyumba nchini halafu wao wamezificha
 
Back
Top Bottom