NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

Na mimi nashangaa watu wamepewa majukumu na hawafanyi chochote. Watanzania tujifunze kutoka kwa wenzetu, we have to use our brain in order to get what we want. The only way to achieve our goals is to show the one who are in leadesrhip that we know what they should not been doing rather being murmuring.

Who among tanzanian a think taker ever thought of having bussiness plan to build a railway financed by the NSSF to remove traffic congestion in Dar es salaam city which its payback may be 40 years.

Does the law allow , please NSSF tell and educate us what are u doing why you exist tell us can we have Built Operate Transfer projects to ease our problems like infratructure, electicity.

NSSF Ukijenga barabara safi toka kimara mpaka posta amabyao no foleni ukaniambia nilipe TShs 1000 kila nipitapo nitafurahi tu..
 
naona unaelekea kile kilicho nyuma ya swali langu.. Thanks.. Kwanini nssf ionakane kuwa itaweza kufanya yale ambayo serikali ya ccm imeshindwa kufanya? Hivi nssf ikipewa bandari, atcl, tanesco.. Itashangaza..? Something is not right.. ! Tatizo siyo nssf kuwekeza tatizo ni kwanini wanaamini nssf itafanikiwa pale ambapo tanroads imeshindwa, pale ambapo tanesco imeshindwa n.k yawezekana nssf ina fedha zaidi kuliko serikali?


infact miradi yao inafanikiwa kushinda ile inayoendeshwa na serikali
 
Back
Top Bottom