PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Ndugu wanaforum;
Natumaini hamjambo na wengi wenu mnaendeleza gurudumu la kujenga taifa letu pendwa Tanzania. Pia tunamshukuru Mungu kwa kutupatia uhai na tunaweza kuanzisha threads humu, Amen.
Hoja yangu nilipenda kujua Je, tokea Raisi Dr. John Pombe Magufuli atoe maelekezo kuhusu mifuko ya hifadhi kuendelea na kikokotoo cha zamani hadi 2023, Je kuna mdau au unamjua mdau ambae kashapewa mafao yake? (Fao la kujitoa).
Maana wengi wetu ajira hazieleweki huku private tuliko na kimbilio letu ni hicho kidogo tulichowekeza kitusaidie kusukuma gurudumu la maisha.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app