chipanga
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 712
- 444
hivi hii mifuko ya hifazi za
jamii si inashindana? kwann mapungufu ya nssf yasiwe advantage kwa
mifuko mingine? je ni lazima kuwa mwanachama nssf? mimi wakati naajiriwa
tuliletewa watu wa mifuko yote ya hifadhi za jamii wamwage sera kila
mtu achague mfuko anaotaka na kweli kila mtu alichagua anapopataka, sasa
hapa naona vita ipo kati ya mkurugenzi na vita inasababishwa na dini
yake
Nawachukia sana watu kama wewe wanaohusishanisha kila jambo na dini, nawachukia sana. Samahani kwa hilo.