Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mkuu, FYI, Kigamboni na Dar ni PWANI ya Afrika mashariki Lazima paendane na MAZINGIRA YA WAKAZI Nawazawaa wa Pwani...Exactly pashabihiane na Msikiti !!! Kwani hata Ikulu ni moja ya nembo za msikiti... Na UUDSM nayo ina taswira za grand Mosque !!Samahani napita...naona kama mfano wa msikiti vile.....dhana ya Dau kuinjilisha kimtindo mpaka public areas? au
Usistaajabu wala usishangaae majengo mengine yana fafafa na Church !! hiyo ni modern archtcl.
AbasMzeEgyptian hiyo ni iCon ya mwambao !!!