NSSF na Daraja la Dr. Dau kule Kigamboni

NSSF na Daraja la Dr. Dau kule Kigamboni

AbasMzeEgyptian

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
407
Reaction score
313
Dr Dau aliahidi angejenga daraja lakigamboni kuwakomboa watu na kweli. Leo hii wana Kigamboni wanaliita Daraja la Dau...awamu ya kwanza ishamalizika

Ao3LtnqFvmVs3usFmnqZQCphFoO-Z4F99XhM4WD3DIwN.jpg

_MG_3341.JPG

AW1A0068-1.jpg

AW1A0079.jpg

1-muonnekanowadarajalakigamboni_zps7b897d39.jpg

IMG_9921_zps42f01511.jpg

Na magari yashaanza kupita
22528925224_3eede6aaa9_h.jpg

22831443660_a2417cb0bf_h.jpg

22759300449_edebcbb04c_h.jpg

23422413686_e37ac842a8_h.jpg

22733741988_5563c82603_h.jpg

22733606597_21fae69c3e_h.jpg

22733748828_1086d3be7f_h.jpg

23127732685_7607e82ce5_h.jpg

IMG_3432.JPG

MR RESULTS ORIENTED huyo hapo kati kati
 
Dr Dau aliahidi angejenga daraja lakigamboni kuwakomboa watu na kweli. Leo hii wana Kigamboni wanaliita Daraja la Dau...awamu ya kwanza ishamalizika

Na magari yashaanza kupita

Nufaika_zps8d4ed6dc.jpg

MR RESULTS ORIENTED huyo hapo kati kati
Hakuna Njia? Ndio Polisi Post sikuhizi zina rangi hiyo? Nyeusi Stop.... Watu wengi wamechoshwa na usanii wa Tanganyika...
 
Dr Dau aliahidi angejenga daraja lakigamboni kuwakomboa watu na kweli. Leo hii wana Kigamboni wanaliita Daraja la Dau...awamu ya kwanza ishamalizika

1-muonnekanowadarajalakigamboni_zps7b897d39.jpg

IMG_9921_zps42f01511.jpg

Na magari yashaanza kupita

Nufaika_zps8d4ed6dc.jpg

IMG_3432.JPG

MR RESULTS ORIENTED huyo hapo kati kati
Mkuu mtoa mada, naona mada yako imekaa kumpamba huyo Dr Dau, kama si Dau mwenyewe!
Hilo daraja pengine hata hujui maana yake, hilo ni temporary, na daraja lenyewe wala bado halijaanza kujengwa!
Sijui huna macho au vipi, si unayaona mabati yasiyoweza kubeba uzito mkubwa!
Na ta kukuelewesha Nssf Ni financier tu wa mradi na hawana ujuzi wa kusimamia hilo daraja isipokuwa wizara husika ya ujenzi na wataalam walioteuliwa.
 
CONTRACTOR- CHINA RAILWAY JIANGCHANG ENGINEERING CO. (T) LTD AND MAJOR BRIDGE ENGINEERING CO. LTD.

SAM_2397.jpg

Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufulli akihutubia leo wakati wa hafla ya utiliaji wa saini wa mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni ambao unatarajiwa kuanza siku yeyote kuanzia hivi sasa leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Mkataba huo umesainiwa baina ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Wakandarasi kutoka nchini China ambao ni CHINA RAILWAY JIANGCHANG ENGINEERING CO. (T) LTD na MAJOR BRIDGE ENGINEERING CO. LTD.

IMG_4460.jpg

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akihutubia katika hafla hiyo leo ambapo ametoa wito kwa wakazi wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kuomba kazi za ujenzi huo wa mradi wa daraja la Kigamboni.

IMG_4361.jpg

IMG_4383.jpg

IMG_4411.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii,Dkt. Ramadhan Dau (kushoto) akibabadilirishana vitabu vya mkataba wa mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ukandarasi ya China Railway Jiangchang Engineering,Bw. Shi Yuan mara baada ya kusaini leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Wengine Pichani ni Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufulli,Waziri wa kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Sadick,Balozi wa Misri nnchini

IMG_4295.jpg

IMG_4237.jpg

IMG_4532.jpg
 
MrNSSF shikamoo....
Ntafurahi kama mtakuwa mnajitojeza kujibu hoja zinazowahusu na sio kuzisoma kimyakimya na kusepa kama zile hoja zilizopia!
 
Last edited by a moderator:
issue hapa ni daraja

Kama daraja la kigamboni ninajengwa, je sifa kwa wafanyakazi waliochangia ama sifa kwa DG wa NSSF anaelipwa kwa pesa za wafanyakazi?

Je malalamiko ya wafanyakazi hayana maana?

KWani nini mnakuwa wasanii kuwa mnatoa mikopo? Kwa nini mmeweka masharti magumu sana ili watu washindwe kukopa?

Kwa nini msiwe wabunifu kama PSPF?

PSPF wanatoa mikopo kupitia benki ya POSTA, nyie NSSF mmeshindwa, ama ni uvivu wa kufikiri?
 
  • Thanks
Reactions: mka
tuvumiliane wakuu. tuonane mwakani July 2015, tutakuwa tumefikia hatua nzuri kukabidhi kazi inayoendelea kwa kasi kubwa sasa. wengi wetu hamjui hatua tulipofikia sasa. kazi ya kuinua nguzo katikati ya bahari pamoja na earthworks on approach roads inaendelea usiku na mchana. presure ni kubwa lakini tunakwenda na viwango kuzingatiwa
 
Kama daraja la kigamboni ninajengwa, je sifa kwa wafanyakazi waliochangia ama sifa kwa DG wa NSSF anaelipwa kwa pesa za wafanyakazi?

Je malalamiko ya wafanyakazi hayana maana?

KWani nini mnakuwa wasanii kuwa mnatoa mikopo? Kwa nini mmeweka masharti magumu sana ili watu washindwe kukopa?

Kwa nini msiwe wabunifu kama PSPF?

PSPF wanatoa mikopo kupitia benki ya POSTA, nyie NSSF mmeshindwa, ama ni uvivu wa kufikiri?

mkuu. mikopo ya nssf ni usanii mtupu..masharti yake hayamnufaishi chochote mwanachama,,
 
Kama daraja la kigamboni ninajengwa, je sifa kwa wafanyakazi waliochangia ama sifa kwa DG wa NSSF anaelipwa kwa pesa za wafanyakazi?

Je malalamiko ya wafanyakazi hayana maana?

KWani nini mnakuwa wasanii kuwa mnatoa mikopo? Kwa nini mmeweka masharti magumu sana ili watu washindwe kukopa?

Kwa nini msiwe wabunifu kama PSPF?

PSPF wanatoa mikopo kupitia benki ya POSTA, nyie NSSF mmeshindwa, ama ni uvivu wa kufikiri?

hivi hii mifuko ya hifazi za jamii si inashindana? kwann mapungufu ya nssf yasiwe advantage kwa mifuko mingine? je ni lazima kuwa mwanachama nssf? mimi wakati naajiriwa tuliletewa watu wa mifuko yote ya hifadhi za jamii wamwage sera kila mtu achague mfuko anaotaka na kweli kila mtu alichagua anapopataka, sasa hapa naona vita ipo kati ya mkurugenzi na vita inasababishwa na dini yake
 
Mkuu mtoa mada, naona mada yako imekaa kumpamba huyo Dr Dau, kama si Dau mwenyewe!
Hilo daraja pengine hata hujui maana yake, hilo ni temporary, na daraja lenyewe wala bado halijaanza kujengwa!
Sijui huna macho au vipi, si unayaona mabati yasiyoweza kubeba uzito mkubwa!
Na ta kukuelewesha Nssf Ni financier tu wa mradi na hawana ujuzi wa kusimamia hilo daraja isipokuwa wizara husika ya ujenzi na wataalam walioteuliwa.
bora hata lingeitwa daraja la slaa bana.
 
Back
Top Bottom