Sometime tusiangalie upande mmoja tu hapa kuna mwajiri wafanyakazi wanao changia NSSF na Huduma zinazotolewa shirikani NSSF,ni kiri kwamba NSSF kuna baadhi ya mikoa, willaya ambapo offisi zao zipo wanafanya kazi vizuri sana kwa weledi mkubwa na hivyo hivyo kuna mikoa michache they fail to perfom vizuri kutokana na uongozi wa eneo husika,sasa tuanze kumwangalia mwajiri kwa mfano kazi ya kumkagua mwajiri kama ana comply na sheria za social security huwa wajiri wanazinguwa sana kukaguliwa pale NSSF'S officers wanapo watembelea na wanadiriki kuficha nyaraka mbalimbali ili asibainiki madudu yake, pia pamoja nakuchukuliwa hatua za kupelekwa mahakamani na shirika bado wajiri ni wasumbufu sana,kwa wajiriwa(wafanyakazi) wanao changia kwenye mfuko huu wa nssf hawana ushirikiano sana kusaidia kufichuwa mambo machafu ya boss wake kama boss apeleki michango,sijuwi ni kwa uwoga wao kufukuzwa, pia pale officer from NSSF anapotaka kuchukuwa report ya mwajiri huwa unakuta wanaficha document kumlinda boss wake na sijuwi ni hofu gani hii eh ilihali anajisahau kuwa michango yake baadae wakati wa withdraw anakuta mapengo yani kuna michango haikupelekwa ambapo anasababisha kuchukua fao lichukue muda na NSSF huwa wanataratibu za kutokumlipa mwanachama mpaka michango yote ikamilike,document ambazo mfanyakazi huzificha kama payroll na recept za michango yote ya kila mwezi wanasema hawajuwi boss ameziweka wapi sasa anakaguliwaje mtu kama huyu ni wachache sana wanatoa ushirikiano pale officers from nssf wanapokwenda kwa mwajiri kukaguwa, na wanangalia kama mwajiri anapeleka michango, kingine kama kiasi kinacholipwa ni sahii hakipo underpayment, ama boss wake ana comply na sheria za mifuko ya jamii kwa mantiki kwamba kama mwajiriwa achangiwi mfuko wowote hapo huwa wana insist boss wao awandikishe staff aanze kukatwa 20% kiende kweny mfuko,kiukweli huduma NSSF zipo improved alot ukilinganisha na kipindi cha nyuma wanapoelekea na walipotoka ni total different ,
haya ni maoni yangu sio lazima tufanane kimtazamo