MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,659
- 33,538
Kuna makampuni mengi yanakata wafanyakazi NSSF lakini hawapeleki hiyo michango NSSF.
Aibu zaidi mengine yana miaka hata zaidi ya mitatu hawajawahi kupeleka hata senti na hakuna anayefuatilia
Mbaya zaidi wapo maafisa wana taarifa za baadhi ya makampuni hayo korofi lakini hawachukui hatua.
Huu ni uzembe. Hivi kuna audit huko kweli? Hivi kama kukusanya tu vilivyo wazi hivi ni tabu, mtaweza kusaka vyanzo vingine makini vya mapato?