NSSF huu ni ujumbe wangu kwenu

NSSF huu ni ujumbe wangu kwenu

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Habarini za jion.napenda kutoa lalamiko langu hapa huenda litasikika.ni hivi huu ni mwez wa sita sasa tangu nianze kufatilia kulipwa kwa mafao yangu.lakini cha ajabu napigwa kalenda zisizoelezeka.hivi naomba kujua inachukua muda gani mimi kulipwa endapo nimekamilisha vielelezo vyote vilivyohitajika?hawa watu wanasumbua sana na hata ukihitaji kuonana na manager wao hawakubali.
tafadhali kwa aliewahi kupata vikwazo kutoka nssf naomba anieleze alifanyaje ili kufanikiwa.asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom